Yanga yatoa msimamo mkali: Yadai pointi 3 kwa Simba, yakataa mechi ya marudio na kutaka Kamati ya Ligi Kuvunjwa!

Kwani wewe kuna kanuni inayo zuia kususia mechi baada ya kuzuiwa kufanya mazoezi?
Hujanijibu hapo wewe si unataka point 3? Je Refa alikuwepo? Kamisaa wa michezo anaeandika riport ya mchezo alikuwepo? Akiandika report gani?
 
Nani kasema nilifika uwanjani? Nimesema timu ilifika uwanjani. Aiseee rage ajengewe sanamu lake pale msimbazi
Report ya kuwa wewe ulifika uwanjani imeandikwa na nani?😂😂

Mpaka saivi hatuna uhakika pasi na shaka kama ulifika uwanjani? Bila kamisaa wamchezo kutupa report
 
Ila uto mna mbwembwe sana. Eti mmefanya kikao kwa njia ya mtandao. Yaani mnajikuta kama mpo Oval Office vile.
 
Hujanijibu hapo wewe si unataka point 3? Je Refa alikuwepo? Kamisaa wa michezo anaeandika riport ya mchezo alikuwepo? Akiandika report gani?
Mbona huajaibu hoja za hiyo video au kwakuwa inakubana?
 
Kwani wewe kuna kanuni inayo zuia kususia mechi baada ya kuzuiwa kufanya mazoezi?
Ukiulizwa Simba walisusia mechi ipi utasemaje? Au utakuja na barua ya Simba kwa uma? Ukija nayo utarudishwa kwenye kanuni na kupewa tafsiri ya Kususa mechi halafu hapo ndipo utakapoangukia pua.
 
Rs Berkane alienda kucheza final bila kucheza nusu final kwa upumbavu huo huo unaotaka kufanana na wa uto fc
Nigeria wamepewa ushindi bila hata kucheza mechi na Libya kwa ujinga ujinga

Labda kama mnasema Cuf ya buguruni kwa profesa Lipumba
CAF hao na kanuni zao huko TFF mnawamudu,soka letu kivyetu vyetu.
 
Vipi kiziwi wewe?

Mwaduke yale sio maandiko yake binafsi ni maandiko yaliopo kwenye kanuni za CAF.
Kwa hiyo ukimnukuhu Mbwaduke ndiyo automatically unakuwa umenukuhu msahafu wa CAF?
 
Ukiulizwa Simba walisusia mechi ipi utasemaje? Au utakuja na barua ya Simba kwa uma? Ukija nayo utarudishwa kwenye kanuni na kupewa tafsiri ya Kususa mechi halafu hapo ndipo utakapoangukia pua.
Kwani kwenye barua yenu ya jana mligomea mechi ipi au hamkuandika nyie? Tafsiri gani inayosema timu ikishindwa kufanya mazoezi ruksa kugomea mechi?
 
Haya tuzungumze kanuni kaka
Ulileta Team uwanjani ✅
Refa aliekua uwanjani ni nani?
Kamisaa wa mchezo?
Je Team ilikaguliwa na filimbi kumaliza mchezo ilipulizwa?
Hivi kama vilifanyika vyote point 3 haki yako.

Nijibu mzee
Wenye akili ni wawili tu hiyo timu
Na huyo jamaa sio mzee Manara wala Kikwete kwahiyo utajisumbua bire
 
Mbona huajaibu hoja za hiyo video au kwakuwa inakubana?
Hainibani Mimi nimekubali sijaleta team je wewe umeleta team?

Refa alikua nani?

Maimamizi wa mchezo huo yaani Match kamisaa ni nani?

Je aliandika report ya wewe kufika uwanjani? Na team yako kukaguliwa?
 
Nani kasema nilifika uwanjani? Nimesema timu ilifika uwanjani. Aiseee rage ajengewe sanamu lake pale msimbazi
Hakuna hata picha moja ya wachezaji wa Yanga wakiwepo uwanjani juzi wakiwa wamevaa jezi zinazotambulika na TFF halafu viongozi wenu wanazidi kuwapa matumaini hewa ya pwenti za bure bure kwa kisingizio cha kuwepo uwanjani.
 
Kwani kwenye barua yenu ya jana mligomea mechi ipi au hamkuandika nyie? Tafsiri gani inayosema timu ikishindwa kufanya mazoezi ruksa kugomea mechi?

Kanuni hazisemi timu ikiandika barua kwa uma ndo imesusa mechi, inasema timu isipoingia uwanjani, refa anaweka rekodi sawa, fomu zinajazwa, FT 3-0.

Sasa uwanjani palikuwa na refa?
 
Hainibani Mimi nimekubali sijaleta team je wewe umeleta team?

Refa alikua nani?

Maimamizi wa mchezo huo yaani Match kamisaa ni nani?

Je aliandika report ya wewe kufika uwanjani? Na team yako kukaguliwa?
Sasa kama umekubali hujaleta timu huoni umejifunga wenyewe kwa kanuni mlizo refer wenyewe za TFF?
 
CAF wana msaafu? Mwadike amarefer kilicho andikwa na CAF au unaona kinakubana.
Kwa nini sasa usipost kutoka chanzo asili cha CAF badala yake unapost maneno ya mchambuzi? Ndiyo maana nakuuliza huyo Mbwaduke ndiyo atakuwa shahidi wenu namba moja? Bando langu halafu unanipostia viclip visivyo na maelezo unategemea nini?
 
Kanuni hazisemi timu ikiandika barua kwa uma ndo imesusa mechi, inasema timu isipoingia uwanjani, refa anaweka rekodi sawa, fomu zinajazwa, FT 3-0.

Sasa uwanjani palikuwa na refa?
Kwa hiyo ile barua haikuandikwa na nyie au Magoli aliongea kuchamsha baraza la kahawa?Hivi unasoma ulicho kiandika, kwa hiyo ile barua haikuandikwa na nyie........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…