Yanga yatoka rasmi mashindano ya CAF, hakuna muujiza utaweza kuwasaidia

Yanga anaweza kupita, goli 3 zinawezekana kabisa. Anahitaji huo ushindi tu, kwani wakiwa point sawa head to head itatumika baina yao kuona katika yake na CR nani kachukua point nyingi kwa mwenzake, ikiwa sawa magoli yatachukua nafasi.
 
Ndio madhara ya kupenda midako na rede halafu mpira mnalazimisha kuupenda ukubwani.

Yanga anahitaji kushinda hata goli moja tu dhidi ya CRB na atoe sare mechi na Al Ahly moja kwa moja anafuzu kwasababu hatolingana point na CRB. Yanga inahitaji point 4 tu ambazo katika hizo point 4, point 3 azichukulie kwa CRB anafuzu moja kwa moja haijalishi kafunga magoli mangapi bali itamfanya awe na point 9 zisizoweza kufikiwa na CRB
 
Yanga anaweza kupita, goli 3 zinawezekana kabisa. Anahitaji huo ushindi tu, kwani wakiwa point sawa head to head itatumika baina yao kuona katika yake na CR nani kachukua point nyingi kwa mwenzake, ikiwa sawa magoli yatachukua nafasi.
Ili Yanga ifuzu inabidi waipige CR Belouzidad kono la nyani (bao tano) maana kuna dozi inawasubiri Misri kwa Al Ahly, na hapo waombee Belouzidad akiwa nyumbani kwao dhidi ya vibonde wa kundi ashinde goli tatu tu kwa timu ambayo imepigwa tatu ugenini kwa Yanga na Al ahly.
 
Sare na Al Ahly ni mutual exclusive ni sawa na mtu aliyeambiwa avae boxer kisha avuke maji ya shingo bila pumb kulowa.

WE utaweza?
 
Sa
Kwaakoli yako Topolo ataweza? Ndo mana msrmaji wao Jana alikuwa abajuhami kuiombe Al ahly ashinfe ugenini
 
Idadi ya wehu inaongezeka kwa kasi nchini Tanzania
 
Labda Majini yawasaidie kutoa sare na Al ahly.
 
Sare na Al Ahly ni mutual exclusive ni sawa na mtu aliyeambiwa avae boxer kisha avuke maji ya shingo bila pumb kulowa.

WE utaweza?
Kwani Al Ahly watacheza na wachezaji zaidi ya 11 uwanjani hadi ishindakane? Siku hizi umekuwq mtabiri au umekuwa Mungu unayejua kuwezekana kwa kitu ama lah? Ukisema Yanga hawawezi kupata sare Misri basi bila shaka mchezo wa mpira huujui. Yanga kupata sare Misri ni jambo linalowrsekana kikubwa apambane kwanza kumfunga Belouizdad
 
Ukitoa sare na CRB na mechi zenu za mwisho mkashinda ,Yanga na CRB si wote mtafikisha points 9 . Au points 9 zenu zitakuwa na nguvu za majini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…