Yanga yatoka rasmi mashindano ya CAF, hakuna muujiza utaweza kuwasaidia

Boss, anazipata wapi hizo 4? Kuna wakati mkubali ukweli usemwe. Nitakurudia trh 24 baada ya match
 
Ukitoa sare na CRB na mechi zenu za mwisho mkashinda ,Yanga na CRB si wote mtafikisha points 9 . Au points 9 zenu zitakuwa na nguvu za majini ?
Soma uelewe ili Yanga afuzu anatakiwa amfunge CRB haijalishi goli ngapi na kisha mechi yake ya mwisho anatakiwa apate sare tu inamtosha kwenda hatua inayofuata
 
JF ya Sasa imejaa vichaa, nimefunguwa Uzi nione matokeo ya mechi ya Jana sioni kitu naona mauzauza tu ya mtu anayejamba mashuzi tu hata anachokiandika hakieleweki.

Stupid (In Samia voice)
 
Jiandae kupingwa na Mazuzu ya Jangwani..
 
sawa apostle 🐒

R I P laigwanani comrade ENL
 
Hivi kwa nini watu wa upande wa pili wanaanzisha thread za Yanga kika siku? Angalau wangekuwa wanatoa analysis ya kwa nini Yanga hawatafuzu lakini thread zao zimejaa hisia na dua mbaya kwa adui yao.
Yanga ana uwezobwa kumfunga Belouizidad tarehe 24 na mechi ya mwisho akatoa draw na hata kushinda ugenini. Al Ahly ya sasa hivi siyo ile ya zamani. Nafikiri kama mtu aliangalia mechi zao za hivi karibuni atajua hilo. Belouizidad nao hawako vizuri sana kama watu wa Mbeleko FC wanavyotaka kuuamimisha umma. Halafu mpira siyo hesabu wala logic kwamba kama A=B na B=C basi A=C.
Ushauri wa bure kwa mashabiki wa Mbeeko FC enjoy the beautiful game stress za timu za wengine x
Zitawaua!
 
sema wewe mwenyewe unachukulia mpira as if unaokota tu unafunga, unafikiri hata hiyo cr belouzidad mtaifunga ?
 
Ili Yanga ifuzu inabidi waipige CR Belouzidad kono la nyani (bao tano) maana kuna dozi inawasubiri Misri kwa Al Ahly, na hapo waombee Belouzidad akiwa nyumbani kwao dhidi ya vibonde wa kundi ashinde goli mbili tu.
Ujinga mwingine wa mifugo ya mangungu ndio hii, Yanga akimpiga Belouzdad ata kwa ushindi wa goli moja na akapata point moja kwa Aly ahly Anakuwa amepita moja kwa moja aijalishi magoli ya kufungwa na kufunga yako je, Belouzdad ata akishinda goli 100 dhidi ya medeama Anakuwa ametolewa na yanga anasonga robo fainali,
Hesabu tu ndogo iyo unashindwa kuijua alafu unataka mangungu awaachie timu na akili zenyewe ndio hizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…