Yanga yatuma malalamiko rasmi CAF kuhusu kukataliwa goli lao.

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Leo hii Yanga imetuma malalamiko CAF kuhusu kukataliwa goli lao.
 

Attachments

  • FB_IMG_17124061815596871.jpg
    466.3 KB · Views: 4
  • FB_IMG_17124061852437983.jpg
    468.1 KB · Views: 6
  • FB_IMG_17124061883951070.jpg
    382.2 KB · Views: 4
Barua gani hiyo inawadhamini hapo chini? Haina signature huko utopoloni kuna wasomi kweli?
 
Step one accomplished by sending official complain to CAF, hongera sana Young Africa football club leaders. Hii ndio tofauti yetu na Makolo , akili zimejaa Yanga, we act on time, our team is unstoppable for now, hata waje Real Madrid tukishawasoma hawatufungi!!

Step two : Yanga should waits for the response not more than a week and if CAF agrees by letter to investigate the incident , Yanga itume barua ya pili CAF kuomba kuwa mjumbe wa kamati ya uchunguzi ili kuhakiki haki yao katika mchakato wa kesi wakiwa kama mlalamikaji, Yanga isikubali uchunguzi ufanyike bila kuwa na mjumbe wake.

Step 3 : Yanga ifanye michango kwa matajiri na mashabiki, fundraising for the task. Yanga must fight, ipambane vya kutosha katika kesi hii ili kuwaenzi hardworking players na kumaintain their morale for they make us proud and happy.
 
Kesi itaanza kusikilizwa baada ya mashindano kuisha na kupatikana mshindi.
 
Kesi itaanza kusikilizwa baada ya mashindano kuisha na kupatikana mshindi.
Hata ikiwa hivyo mambo kama ya jana hayatarudiwa na Yanga iko on fire mwakani pia hiyo ligi ipo tukaoneshane ball na Mamelodi kwa haki
 

By that time michuano itakuwa imeisha

CAF is aware na complains zenu, and no one will waste time to deal with the written letter

It was not a goal full stop
 
Haisaidii, La Kuvunda Halina Ubani
 
Hii kukata rufaa aim yake ni nin? Mafanikio yake ni yapi?

Nafikiri swala la msingi ilkuwa ni kushinikiza kuletwa kwa goal line technology kwenye mpira wetu wa Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…