Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msomi ni MangunguBarua gani hiyo inawadhamini hapo chini? Haina signature huko utopoloni kuna wasomi kweli?
😀 yaani ndio caf wakae kujali hiko kiuchafu hapoMsomi ni Mangungu
Unajua nini kuhusu "headed Paper" mkuu😀 yaani ndio caf wakae kujali hiko kiuchafu hapo
Hata ikiwa hivyo mambo kama ya jana hayatarudiwa na Yanga iko on fire mwakani pia hiyo ligi ipo tukaoneshane ball na Mamelodi kwa hakiKesi itaanza kusikilizwa baada ya mashindano kuisha na kupatikana mshindi.
Umesahau mara hii malalamiko yenu ya kutaka kulipiwa usafiri na serikali??Malalamiko Fc
Roho mbaya itakuua.Malalamiko Fc
Leo hii Yanga imetuma malalamiko CAF kuhusu kukataliwa goli lao.
Unajua nini kuhusu "headed Paper" mkuu
Step one accomplished by sending official complain to CAF, hongera sana Young Africa football club leaders. Hii ndio tofauti yetu na Makolo , akili zimejaa Yanga, we act on time, our team is unstoppable for now, hata waje Real Madrid tukishawasoma hawatufungi!!
Step two : Yanga should waits for the response not more than a week and if CAF agrees by letter to investigate the incident , Yanga itume barua ya pili CAF kuomba kuwa mjumbe wa kamati ya uchunguzi ili kuhakiki haki yao katika mchakato wa kesi wakiwa kama mlalamikaji, Yanga isikubali uchunguzi ufanyike bila kuwa na mjumbe wake.
Step 3 : Yanga ifanye michango kwa matajiri na mashabiki, fundraising for the task. Yanga must fight, ipambane vya kutosha katika kesi hii ili kuwaenzi hardworking players na kumaintain their morale for they make us proud and happy.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kesi itaanza kusikilizwa baada ya mashindano kuisha na kupatikana mshindi.