SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Hawa Gen-Z ndiyo wanachukulia poa ila utamaduni wa Yanga miaka yote ilikuwa ni marufuku kushobokea rangi nyeupe au nyekundu. Hawa jamaa ilikuwa manjano na wao na wao na manjano.
Kama ni mfuatiliaji mzuri utaona miaka ya hivi karibuni walianza taratibu kutoka huko. Wakaanza kuonyesha waziwazi matamanio ya kutumia rangi nyeupe na nyekundu, ila kwa kuwa wako vizuri kwenye propaganda, hili wakalifukia na kujifanya kama siyo "big deal".
Mwaka jana niliwahi kutabiri kuwa ndani ya misimu hii miwili au mitatu ijayo, Yanga itaenda rasmi kuvaa jezi nyeupe kwa mara ya kwanza. Leo huo utabiri umetimia.
Wakati wanatumia nguvu kubwa kujaribu kuizika Simba, kila uchwao wanaiba utambulisho na watu wake. Ni suala la muda kabla na nyekundu hawajaichukua.

Shida ya jezi za Yanga ni rangi wanazotumia. Ni nadra sana kupata nguo nzuri utakayoivaa kila siku ya rangi ya kijani au njano. Wewe muulize mwanapuyanga yoyote katika nguo zake alizonazo, ukiacha jezi ana nguo ngapi zenye rangi hizo?
Ndiyo maana jana kwa mara ya kwanza katika historia ya Yanga nimeona wamevaa nguo nyeupe. Wameanzia kuwavalisha wachezaji walio benchi ila ndani ya misimu hii miwili ijayo naamini Yanga watakuja kuwa na jezi nyeupe watakayotumia uwanjani.
Hili jambo linafikirisha sana. Alianza Nabi, wakaja wachezaji wao kwenye tamasha lao, sasa viongozi wao tena katika mechi dhidi ya Simba. Kuna siku nilisema ndani ya misimu mitatu ijayo tutaiona Yanga ikiwa na jezi nyeupe.
Wakati wanatumia nguvu kubwa kujaribu kuizika Simba, kila uchwao wanaiba utambulisho na watu wake. Ni suala la muda kabla na nyekundu hawajaichukua.