Vunja BeiMechi za ligi hazichezwi kwa mfumo wa mtoano yaani aggregate. Anayejidhalilisha ni yule aliyeweka hilo bango la upotoshaji. Wanakamatwa kina GB64 kwa tuhuma za uchochezi, ila huu upotoshaji wa wazi wazi tunachekeana. Na hapo viongozi wa Simba wako tayari kumchoma shabiki wa Simba anayelilia mafanikio ya timu yake ila wanaruhusu nembo ya klabu itumike kwa nia ya kupotosha kwa kisingizio cha utani wa jadi.
Nenda Mahakamani.Hakuna mechi Simba amewahi kufungwa goli 7 , huu ni udhalilishaji na hatutakubali
View attachment 2971707
Mtindiga leo unakana kwenu?Ndio nilipozaliwa huko
Makolokolo yakiteseka hivi ni raha tupu kwetu Utopolo, na bado [emoji28]Mechi za ligi hazichezwi kwa mfumo wa mtoano yaani aggregate. Anayejidhalilisha ni yule aliyeweka hilo bango la upotoshaji. Wanakamatwa kina GB64 kwa tuhuma za uchochezi, ila huu upotoshaji wa wazi wazi tunachekeana. Na hapo viongozi wa Simba wako tayari kumchoma shabiki wa Simba anayelilia mafanikio ya timu yake ila wanaruhusu nembo ya klabu itumike kwa nia ya kupotosha kwa kisingizio cha utani wa jadi.
Mbumbumbu hawana akili za ubunifu kama huo [emoji4]Hiyo inadhihirisha yanga kuifunga simba Goli nyingi kwao ni ajabu na ndoto, mwaka 2012 simba ilipoifunga yanga 5-0 kwenye VPL, sidhani kama simba waliweka bango au mbwembwe zozote zile
Jinga kabisa, kama ulisoma ulishindwa kufuta ujinga wako.Hiyo inadhihirisha yanga kuifunga simba Goli nyingi kwao ni ajabu na ndoto, mwaka 2012 simba ilipoifunga yanga 5-0 kwenye VPL, sidhani kama simba waliweka bango au mbwembwe zozote zile
Nakana vipi sasa? Wewe ulivyosrma hamia liver ulikuwa unamaanisha niende UK?Mtindiga leo unakana kwenu?
Siyo ubunifu ni ushamba tu halafu hata penati nayo ni goli kwani ninyi kwenye zile tano zenu hakukuwa na penati, na pia red card siyo tiketi ya moja kwa moja ya timu kufungwa kwani timu ngapi zimewafunga wapinzani zikiwa na red cards, kikubwa ni ubao ulisomekaje hayo ya kunoga au kutokunoga ni porojo kama porojo nyingineMbumbumbu hawana akili za ubunifu kama huo [emoji4]
Hata highlights za 5-0 hazinogi sababu kadi nyekundu 2, penati 1, ulinganishe na Utopolo wakiwa 11 Players kwa Makolokolo 11 [emoji848][emoji2]
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
We babu tuliaa.Hilo bango na linyewe na makunguru...
Shubamitiiii
Mjomba mpira ni rekodi na rekodi ni historia, ingekuwa hivyo basi watu kama kina Pele wasingekuwa wanatajwa hadi leo maana mpira waliocheza wao haukuwa na sheria kama mpira wa sasa, kwanza unaishi sayari gani hiyo ambayo huo mwaka Drones zilikuwa bado hazijaanza kutumika vitaniJinga kabisa, kama ulisoma ulishindwa kufuta ujinga wako.
Mfano mwaka 2012 vita vikikuwa vinapiganwa kwa mabomu ya ndege zenye rubani, vifaru na wanajeshi wa nchi kavu, sasa hivi zinatumika drones.
Kichwa MajiMjomba mpira ni rekodi na rekodi ni historia, ingekuwa hivyo basi watu kama kina Pele wasingekuwa wanatajwa hadi leo maana mpira waliocheza wao haukuwa na sheria kama mpira wa sasa, kwanza unaishi sayari gani hiyo ambayo huo mwaka Drones zilikuwa bado hazijaanza kutumika vitani
Yanga wanajua sana kukera.Saaaaafi sana
Kumbe wewe ni kolo, siku zote huwa unajificha Pyeeeeeee...!🤸Hilo bango na linyewe na makunguru...
Shubamitiiii