Yanga yaweka Bango tena baada ya kuwafunga Simba 7-2 kwa msimu 2023/2024

Yanga wanajua sana kukera.

Bango hili limenipa mfadhaiko sana wa moyo kwa vile nina wasi wasi Simba haitapenda kupambana na Yanga tena na hivyo kunikosesha uhondo wa mpira
Haitapenda kivipi?
 
Hao ni watani wa jadi hivyo hakuna shida yoyote bali niutani tu.
 
Hizi tambo zinakera ikiwa wewe ndiye unayekerwa. Kila jambo lipe muda lina mwisho wake.
Hapana mimi sijaongelea kukera wala kukerwa, soma comment yangu ya kwanza kabisa, nilisema yanga wanashangilia hivi sababu kuifunga simba magoli mengi ni ajabu na ndoto kwao karne hii hawajawahi
 
Hapana mimi sijaongelea kukera wala kukerwa, soma comment yangu ya kwanza kabisa, nilisema yanga wanashangilia hivi sababu kuifunga simba magoli mengi ni ajabu na ndoto kwao hawajawahi
Simba waliifunga Yanga magoli 5-0 mwaka 2012 uliona bango lolote lile katikati ya jiji la Dar?.
 
Ni ushamba tu, mwaka 1968 walipotufunga 5-0 ni miaka 56 iliyopita, zamani zaidi.
Si ndio hapo sasa tungekumbushia na zile 6..0 tulizowafunga mwaka 1977, hapo kweli wangekuwa sahihi kusema ni zamani maana kwanza ni karne ya 20 huko, ila 2012 karne hii hii juzi tu hapo useme eti ni zamani
 
Umefufuka baada ya kipigo
Kipigo gani sasa? Mm nishawahi kukimbia kipigo yani tena kipigo hicho cha2 kwa 1? Sikua hewani tuu jirani...sio kila siku unakua hewani kuna majukumu ya kufanya hutakiwi hekaheka za mitandaoni...
 
ushamba tu na ulimbukeni
 
Kipigo gani sasa? Mm nishawahi kukimbia kipigo yani tena kipigo hicho cha2 kwa 1? Sikua hewani tuu jirani...sio kila siku unakua hewani kuna majukumu ya kufanya hutakiwi hekaheka za mitandaoni...
[emoji23][emoji23][emoji23] kipigo cha Al Ahly ulitoweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…