Yanga yazidi kuwakaba kooni Viongozi wa TFF wenye Husda

Kuna matukio yanatia Shaka lakini la ratiba ngumu nadhani kilikuwa kipimo kizuri Kwa timu inayojinasibu kuwa Bora Kwa Sasa. Sir Alex Ferguson (2009) alikumbana na ratiba ngumu mfululizo lakini alipoulizwa na Waandishi wa habari anajisikiaje baada ya kuona ratiba inayomkutanisha na vigogo wenzie mfululizo? Alijibu; "Safari ya kwenda paradiso ni Kufa ama kupona" hivyo ukitaka ubingwa sharti umshinde bingwa mwenzio.
 
Ni kama vile Young Africans ni fupa la Sangara ambalo limenasa kwenye kolomeo la zee lenye husda liitwalo "TFF".
Sheria ya uswahilini inasema unapotumia neno "kolomeo" kwa lengo la kudhihaki unatakiwa uandike "kolomelo"
 
Mura weito huu Uzi nilitaka niufungue sema shukurani Kwa kuuanzisha...
Baada ya hayo yote wamechungulia wakajua kua Aucho ndio engine ya Yanga pale Kati wameamua wamfungie mechi tatu kibabe... Lakini Mungu sio Athumani wala James najua Yanga itashinda Kwa kishindo...

Nimpe Tu taarifa Mr. Kario na genge lake kua watapambana lakini hawataweza.... Hii Yanga ni Moto wa tipa ulishawaka hakuna na kuzima...
Ubingwa ni lazima
 
Ukiwa yanga kweli akili zinahamia kwenye mkia msimu uliopita mlikuwa mechi nyingi mnashinda kidhulma ikiwemo ile ya AZAM lomalisa alipiga cross mpira ukiwa nje nani alilamika mkapewa penalty nje ya box nani alilamika yaani shida inakuja simba akishinda tu mnaanza fujo mwaka jana wakati marefa wana wabeba ulimsik
 
Mudathir na feisal walipewa adhabu gani maana angefungiwa mngelalamikia kwasababu ya derby busara ilitumika kaachwa kwa hyo ww alichokifanya aucho unaona ni sahihi.
 
Aisee yaani nilishangaa ali kamwe kupost kile kipande cha maokoto akimaanisha simba inabebwa wakati kwa misimu miwili hii hakuna aliyeshinda goal za fluku kama yanga kwenye league kuu na bado analalamika jamal malinzi kipindi ni raisi wa TFF alisema hadharani kwamba katika kipindi chake simba wasitarajie kuwa mabingwa na kweli hawakuambulia kitu karia ambaye ni simba mmeshachukua premier league 2 na wanaongoza league ila wanaongoza kwa kulalamika.
 

Unaweza kuta hata huyu shoga wa jf [mention]Ritz [/mention] nae n mwana yanga[emoji15]
mashoga sikuizi yanacheza had mpira
 


Dunduka a.k.a Kolo

Ok lete maneno!
 
Huyo Karia akimaliza muda wake wa awamu ya pili, atembee zake. Ni wakati sasa mpira wa miguu kurudi mikononi mwa wenyewe kama ilivyokuwa enzi za Leodgar Chilla Tenga.

Nisingependa kuona tena wanasiasa vilaza wa CCM wakiendelea kuongoza TFF.
 
HUNA AKILI.

Ngao ya jamii unayolalamikia simba walicheza na ihefu au majimaji...

AKILIMALI.
 
Huyo Karia akimaliza muda wake wa awamu ya pili, atembee zake. Ni wakati sasa mpira wa miguu kurudi mikononi mwa wenyewe kama ilivyokuwa enzi za Leodgar Chilla Tenga.

Nisingependa kuona tena wanasiasa vilaza wa CCM wakiendelea kuongoza TFF.
Kuna raisi Tanzania mwenye mafanikio katika uongozi wake kuliko karia?
 
Kuna raisi Tanzania mwenye mafanikio katika uongozi wake kuliko karia?
Kwa upande wangu, Leodgar Chilla Tenga ndiye rais wa TFF mwenye mafanikio bora kabisa. Na sidhani kama kuna mtu anaweza kunishawishi kuamini vinginevyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…