Yanga yazidi kuwakaba kooni Viongozi wa TFF wenye Husda

Mkuu umenena yalio sahihi hakiki viongozi wengi wa Tff wana husda na Yanga
 
Tff ya sasa ni lehacy yake
Hii TFF ya sasa ni zao la Jamal Malinzi. Tenga hakuwekeza kwenye siasa za simba na Yanga wakati wa uongozi wake. Yeye aliwekeza kwenye kuijenga TFF kuwa taasisi huru, na pia kutujengea imani mashabiki kwa timu yetu ya Taifa.

Siasa za simba na Yanga ziliasisiwa na Malinzi, na huyu Msomali naye ameona aendeleze pale alipoishia mtangulizi wake. Ila kwa bahati mbaya kila anachofanya kinaonekana na kila mdau wa michezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…