Yani Dar ndiyo imeshikilia uchumi wa Tanzania!

Yani Dar ndiyo imeshikilia uchumi wa Tanzania!

Una nikera mm ww
Kwa maana hiyo imebidi niwaelewe kwanini wasifunge Dar, nchi itarudi kwenye level iliyokua enzi za ujamaa wa Nyerere yaani ukata..umaskini wa mwisho.

121.
 
80%? Really?? Hivyo mikoa mingine yote ni mzigo pamoja na kwamba hiyo mikoa ina migodi, utalii, kilimo na mambo mengine mengi....
Ndo hapo sasa akina Geza utasikia Kenya ni Nairobi tuu wakati hata Tzn ni hivyo hivyo
 
Hizi sifa zinaongeza revenue yenu?
Mko very thick Kwa hizo akili zenu.
Screenshot_20200423-080421.png
 
What are you guys arguing? A Kenyan did not say that....your president magufuli did. If you don't agree pick it up with him not MK254

Plus there is no surprises here It just proves that Tanzania is an LDC country.
 
Kenya: Top 4 contributing counties according to the world bank and knbs (Kenya national Bureau of statistics)
i) Nairobi county - 21.7% of GDP
ii) Nakuru County - 6.5% of GDP
iii) Kiambu County - 5.5 % of GDP
iv) Mombasa county - 5% of GDP
 
Kenya: Top 4 contributing counties according to the world bank and knbs (Kenya national beurau of statistics)
i) Nairobi county - 21.7% of GDP
ii) Nakuru County - 6.5% of GDP
iii) Kiambu County - 5.5 % of GDP
iv) Mombasa county - 5% of GDP
Kisumu 27%
 
Kisumu 27%
Which part of top 4 is difficult to understand?
Kisumu is growing at a faster rate than Nairobi due to a resurgence in agriculture, real estate growth and manufacturing but it will take time for it to contribute 10% of the GDP. Unstable power from Uganda which powers western kenya, is now being replaced with a high voltage 400 kv line from Ol karia, Naivasha(Nakuru country).
Hospitality industry recorded highest growth in Nakuru county ,Kisumu county and Nairobi county while real estate is the fuel for kiambu county growth.
 
Kenyan shilling 50.081 per Int. dollar based on PPP (IMF Oct. 2018)[3]
RankCountyGDP in mil KESGDP in mil USD
(PPP)
Equivalent country[4]
1Nairobi County1,492,32327,798
23px-Flag_of_Armenia.svg.png
Armenia
2Nakuru County517,46210,333
23px-Flag_of_East_Timor.svg.png
Timor-Leste
3Kiambu County421,9188,425
23px-Flag_of_Suriname.svg.png
Suriname
4Mombasa County332,1226,632
23px-Flag_of_Lesotho.svg.png
Lesotho
5Nyandarua County245,2034,896
23px-Flag_of_Barbados.svg.png
Barbados
6Machakos County232,8604,650
23px-Flag_of_Barbados.svg.png
Barbados
7Meru County229,6464,585
23px-Flag_of_Aruba.svg.png
Aruba
8Kisumu County194,4893,883
23px-Flag_of_Cape_Verde.svg.png
Cape Verde
9Bungoma County183,5093,664
23px-Flag_of_the_Cayman_Islands.svg.png
Cayman Islands
10Kakamega County182,5633,645
23px-Flag_of_the_Cayman_Islands.svg.png
Cayman Islands

Top 10 Counties in Kenya by GDP (Nominal and Purchasing Power Parity)
 
Hesabu threads zimeanzishwa na watanzania, utoe mafeelings hapa, deal with facts on ground

Sent using Jamii Forums mobile app

Facts gani mnazo haters nyie zaidi ya miroho mibaya yenu mliyonayo,asiyewajua nyie nani,pambaneni na shida zenu za kwetu haziwahusu,msitushobokee kwa kuwa hatuna habari na nyie kabisa kwani hakuna mnachotuongezea au kutupunguzia
 
Swali la kizushi tu, mazao yanayolimwa Tanzania, entry of export ni wapi? Watalii wanaokuja Tanzania entry of entrance ni wapi? Madini yanayochimbwa nchini entry of cashing ni wapi?

Ukiwa na akili ya kufikiri hivyo hupati shida kujua maana.
Mkenya akili ya kufikiria aipate wapi????...tangu lini mtu mwenye njaa akaweza kufikiri???
 
Back
Top Bottom