MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Hutaki Logout Tanzania
Yamekua hayo....hehehehe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hutaki Logout Tanzania
Kwa maana hiyo imebidi niwaelewe kwanini wasifunge Dar, nchi itarudi kwenye level iliyokua enzi za ujamaa wa Nyerere yaani ukata..umaskini wa mwisho.
Ndo hapo sasa akina Geza utasikia Kenya ni Nairobi tuu wakati hata Tzn ni hivyo hivyo80%? Really?? Hivyo mikoa mingine yote ni mzigo pamoja na kwamba hiyo mikoa ina migodi, utalii, kilimo na mambo mengine mengi....
Hizi sifa zinaongeza revenue yenu?
Hizi sifa zinaongeza revenue yenu?
Mko very thick Kwa hizo akili zenu.
Hapo ndio umeona utapotelea na vile ur cohorts ni wengi wameanzisha threads kuiponda kenya, wewe ndio naona unafaa upunguze shobo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi sifa zinaongeza revenue yenu?
Mko very thick Kwa hizo akili zenu.
Its revenue bro....not GDPLakini hivi hamuoni aibu ya mikoa yote kuwa mzigo kwa Dar....halafu mna kila kitu ila umaskini wa kutupwa, tatizo uzembe wenu.
Mchato anatutia aibu kwa majiraniWakenya mtuvumilie tu. Aliyesema maneno hayo kuna kipindi network inasoma low. Muda mwingine ipo 5G. Ikiwa low ndo hivyo tena. Ila tunampenda jamaa yetu hivyo hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
saana tuMchato anatutia aibu kwa majirani
Kisumu 27%Kenya: Top 4 contributing counties according to the world bank and knbs (Kenya national beurau of statistics)
i) Nairobi county - 21.7% of GDP
ii) Nakuru County - 6.5% of GDP
iii) Kiambu County - 5.5 % of GDP
iv) Mombasa county - 5% of GDP
Hesabu threads zimeanzishwa na watanzania, utoe mafeelings hapa, deal with facts on groundPunguzeni shobo kwetu,sisi hatuna shida na nyinyi,fanyeni yenu bila kutushokea sisi
North korea manenozHawa kwao kila mtu ni full mikwara, wanafanyia Corona ubabe hadi raha...
![]()
Which part of top 4 is difficult to understand?Kisumu 27%
| Rank | County | GDP in mil KES | GDP in mil USD (PPP) | Equivalent country[4] |
|---|---|---|---|---|
| 1 | Nairobi County | 1,492,323 | 27,798 | |
| 2 | Nakuru County | 517,462 | 10,333 | |
| 3 | Kiambu County | 421,918 | 8,425 | |
| 4 | Mombasa County | 332,122 | 6,632 | |
| 5 | Nyandarua County | 245,203 | 4,896 | |
| 6 | Machakos County | 232,860 | 4,650 | |
| 7 | Meru County | 229,646 | 4,585 | |
| 8 | Kisumu County | 194,489 | 3,883 | |
| 9 | Bungoma County | 183,509 | 3,664 | |
| 10 | Kakamega County | 182,563 | 3,645 |
Hesabu threads zimeanzishwa na watanzania, utoe mafeelings hapa, deal with facts on ground
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkenya akili ya kufikiria aipate wapi????...tangu lini mtu mwenye njaa akaweza kufikiri???Swali la kizushi tu, mazao yanayolimwa Tanzania, entry of export ni wapi? Watalii wanaokuja Tanzania entry of entrance ni wapi? Madini yanayochimbwa nchini entry of cashing ni wapi?
Ukiwa na akili ya kufikiri hivyo hupati shida kujua maana.