Yani mtu uko freemason, halafu unaendesha Passo?

Freemason sio dini wala sio dini ya kishetani.ni chama kama unavyoona fifa,rotary club,gymkhana club
bado ni chama cha kishetani, hapa Tanzania hatutaki upuuzi na ushetani, waende huo sio Tz, wanatuletea mabalaa tu.
 
Tunaye Mungu mmoja tu ambaye yeye ndiye asili ya kila kitu ulimwenguni! Hivyo dunia haina budi kuwa chini ya himaya ya huyo Mungu mmoja/serikali moja!
Bila shaka huyo ndiye Mungu aliyeumba dunia na vyote vilivyomo l, yaani Jehova!
 
kwahiyo hizo buggati na ferari watapitisha, barabara gani kule goba?
 
#bora uwe raia wa kawaida#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…