Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Chukueni wote, Bangala, Juma Shabani, Doumbia na Kisinda. No problem Yanga inasonga mbele.Soka la Bongo lina mvuto wake, unaambiwa kuwa wakati Timu ya Yanga ikitarajia kufunga usajili wake kwa kumleta Straika la magoli upande wa pili Timu ya Simba wanajiandaa kupeleka simanzi Jangwani kwa kumleta Mkongo aliyefanya vizuri na Wananchi hao ikiwa ni jibu la kubebwa kwa Mkude kuwafuta machozi mashabiki. Tetesi zinasema Mwamba kagoma kupelekwa kwa mkopo Singida Fountaingate anachotaka yeye ni kuvunjwa kwa Mkataba tu. View attachment 2697395
Angalau wewe umefikirisha ubongo.Piga hesabu ya wachezaji wa kigeni Simba halafu sema nani aondoke ili Bangala aingie
Malizaneni nao kwanza, walipeni hela za usajili zilizosaliaChukueni wote, Bangala, Juma Shabani, Doumbia na Kisinda. No problem Yanga inasonga mbele.
Kama hizi ndo akili za Viongozi wa vilabu basi kumbe yeyote anaweza kuongoza Simba na Yanga. Simba Kwa Sasa wanajitahidi angalau Sakho na Banda waondoke hata Kwa mkopo ili kupata nafasi za LUIS 2. Halafu kumbe Muda huo huo kuna kiongozi anamfikiria Yanick Bangala?Piga hesabu ya wachezaji wa kigeni Simba halafu sema nani aondoke ili Bangala aingie
Uyo bangala wanamsajiri kwenda kuchukua nafasi ya nani pale simba?Soka la Bongo lina mvuto wake, unaambiwa kuwa wakati Timu ya Yanga ikitarajia kufunga usajili wake kwa kumleta Straika la magoli upande wa pili Timu ya Simba wanajiandaa kupeleka simanzi Jangwani kwa kumleta Mkongo aliyefanya vizuri na Wananchi hao ikiwa ni jibu la kubebwa kwa Mkude kuwafuta machozi mashabiki.
Tetesi zinasema Mwamba kagoma kupelekwa kwa mkopo Singida Fountaingate anachotaka yeye ni kuvunjwa kwa Mkataba tu.
View attachment 2697395
Aondoke yule mchezaji wa kung fu na kinara wa yellow card-sadio kanute. Mwingine wa kupewa Thank you ni mcheza mayenu-Henock InongaPiga hesabu ya wachezaji wa kigeni Simba halafu sema nani aondoke ili Bangala aingie
Yy ndiye anaye vunja mkataba, so Yanga wanachotaka ni hela yao ya kuvunja mkataba, kama mnayo njooni tuongee biashara.Soka la Bongo lina mvuto wake, unaambiwa kuwa wakati Timu ya Yanga ikitarajia kufunga usajili wake kwa kumleta Straika la magoli upande wa pili Timu ya Simba wanajiandaa kupeleka simanzi Jangwani kwa kumleta Mkongo aliyefanya vizuri na Wananchi hao ikiwa ni jibu la kubebwa kwa Mkude kuwafuta machozi mashabiki.
Tetesi zinasema Mwamba kagoma kupelekwa kwa mkopo Singida Fountaingate anachotaka yeye ni kuvunjwa kwa Mkataba tu.
View attachment 2697395