Tetesi: Yanick Bangala muda wowote anatua Msimbazi

Tetesi: Yanick Bangala muda wowote anatua Msimbazi

Umeitoa kwangu... Kwani vitu vingapi unavijulia humu jukwaani
Nitajie kitu kimoja nilicho wahi kukiandika ambacho nimekitoa humu jukwaani au kwako?

Na unionyeshee hiyo comment kwamba nimetoa kwako. Niache kuviamini vyombo vya habari nikuamini ww na chai zako. JF hapa unachotakiwa kuwa na email tu ili uwe na account, so hata chizi anaweza kamiliki account na kujifanya anajua kila kitu.

Au may be unaumia kusikia Yanga kachukua 270m,we endelea kuumia ila haibadilishi kama Yanga kachukua 270m.
 
Hata nikikwambia nimepata itakusaidia nini.

Okay ninepata mil 100.......... ww unataka nikupe kiasi.

NB:Tatizo la kuujulia mpira ukubwani au hujui shabiki kama sehemu ya club. Unavyotamba humu TUMEMTOA Alhly vp ww ulicheza namba ngapi?
Nisaidie bas ka buku ka bando[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa nidhamu ,umakini na kasi ya yanga ya gamondi yanick bangala na djuma hawataweza kufit wacha waende upande wa pili ikibidi
 
Soka la Bongo lina mvuto wake, unaambiwa kuwa wakati Timu ya Yanga ikitarajia kufunga usajili wake kwa kumleta Straika la magoli upande wa pili Timu ya Simba wanajiandaa kupeleka simanzi Jangwani kwa kumleta Mkongo aliyefanya vizuri na Wananchi hao ikiwa ni jibu la kubebwa kwa Mkude kuwafuta machozi mashabiki.

Tetesi zinasema Mwamba kagoma kupelekwa kwa mkopo Singida Fountaingate anachotaka yeye ni kuvunjwa kwa Mkataba tu.

View attachment 2697395
Naona muda WOWOTE Bado haujafika
 
Back
Top Bottom