uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
usingezunguka ungesema namna mlivyomsajili Mkude
Ninajibu topic on table, kama una ya Mkude anzisha thread
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usingezunguka ungesema namna mlivyomsajili Mkude
nimekujibu kama ulivyotoa hojaNinajibu topic on table, kama una ya Mkude anzisha thread
nimekujibu kama ulivyotoa hoja
hapo utopolo ni nani au umekunywa uji wa marehemuUtopolo Bwana, Bangala kaeni naye, umeona shughuli ha Kikosa A na B Juzi?
hapo utopolo ni nani au umekunywa uji wa marehemu
Nafasi ya Goli keeper inaniuma sana ,hiyo ndio nafasi ilipaswa akae Bangala.Wachezaji wa kigeni.
1. Jefferson Luis goal keeper.
2. Ngoma
3. Kramo
4. Malone
5. Onana.
6. MIQUESSON.
7. Inonga
8. Kanute
9. Saido.
10. Baleke.
11 Chama.
( 12. Phili. )
...............................................
13. SACKHO.
14 . Banda .
WANGEKUWA NA AKILI WANGEMTOA KAFALA PHILI AJE BANGALA.
au phili ashiriki mashindano ya kimataifa tu.
Dah,Kwa mpira wa KISASA no 10 si mshambuliaji ni kiungo.
Playmaker.
11, 7 zamani walikuwa mawinga.
Lakini Leo Kuna version karibu 10 za mawinga.
Mfano.
Winga. (Banda)
Kiungo WA pembeni (sakho)
Winga mshambuliaji. (Onana)
Mshambuliaji WA pembeni. (KIBU)
Viwango tatizo siyo wingi. Unamfananisha mauya na Bangalamchukueni tu watani
pale utopoloni wapo wengi mpaka hatujui tuwafanyaje
Duka limeondolewaRoho zinawauma usione wanajiandikisha tuu hapo
Ml 270?? Ya magazetini... Yanga hawajalipwa pesa hoy...iyo ilikuwa media manipulation ndo maana wakakubaliana kutozungumzia Hasa Kwa feisal..Tujifunze nini, kama tusingekomaa kwa Fei tusingepata mil 270,so nyie si mna hela leteni hela.
Au mkudeKwani mlimchukua mezani? Mnamchukulia huko nje ambako hatuna matumizi naye, ni sasa na sisi tumchukue Onyango, itakuwa kupoteza mda wetu.
Au mkude
Mtu na nusu angesugua benchi simba na kuishia kutemwa?Mkude mtu na nusu, tunamwachaje
Mtu na nusu angesugua benchi simba na kuishia kutemwa?
Ni kweli mkuu, Yanga iliamua kumuweka jamaa pembeni, na hata alishajua kabisa anakoenda hatoweza kuwa sambamba na Yanga.Yanga hawamtaki bangala,hilo lishakua duka la try again na ndio maana Yanga iliposhtuka tu iliacha kumtumia match,Yanga ilishajiandaa kutokua na bangala toka mwishoni mwa last season na ndio maana kuna match hadi job alikua anacheza namba 6
wakilipwa hela za usajili watakuwa mali ya yanga 1000%Malizaneni nao kwanza, walipeni hela za usajili zilizosalia
Kama amemgomea mwajiri wake basi haendi popote. Tuko tayari tule hasara ya kumlipa mshahara lakini ataozea bench.Soka la Bongo lina mvuto wake, unaambiwa kuwa wakati Timu ya Yanga ikitarajia kufunga usajili wake kwa kumleta Straika la magoli upande wa pili Timu ya Simba wanajiandaa kupeleka simanzi Jangwani kwa kumleta Mkongo aliyefanya vizuri na Wananchi hao ikiwa ni jibu la kubebwa kwa Mkude kuwafuta machozi mashabiki.
Tetesi zinasema Mwamba kagoma kupelekwa kwa mkopo Singida Fountaingate anachotaka yeye ni kuvunjwa kwa Mkataba tu.
View attachment 2697395
Anakurupuka tu hana facts.Piga hesabu ya wachezaji wa kigeni Simba halafu sema nani aondoke ili Bangala aingie