Tetesi: Yanick Bangala muda wowote anatua Msimbazi

Yanga wakikomaa wasivunje mkataba atafanya nini? Ni kweli msimbazi wana uhaba wa mabeki wa kati lakini Yanga hawawezi kumuachia aende Simba.

Ni either wamuuze, mkopo au abaki kumalizia mkataba wake aje aondoke freely.
 
Phiri ni majeruhi tu yanamsumbua, but ni bonge la striker. Yaan combination ya Phiri na Baleke ikija kukaa sawa kuna timu zitagoma kuingiza timu uwanjani.

Kuliko uingie upigwe goli 10+ bora hata ugome usingizie hata Umekwama usafiri njiani uje ukatwe goli 3 tu.
 
Una taaluma ya ukocha hadi kushauri? Kazi ya shabiki ni kushangilia na kuzomea baki kwenye nafasi yako..!

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Bora UULIZE.
phili sio STRAIKER.
Ni goal Getter.

Anampenda kucheza No 10
nafasi
Saido +chama.

Mala nyingi namba 10 anakuwa play maker sio mfungaji
Phili si no 9.
 
Makolo mnamchukua Bandala alafu anaondoka nani? Maana idadi yenunimefika mwisho
 
Namba 13 anaondoka huyo, destination France...
 
Acha mzaha kiongozi
 
Bora UULIZE.
phili sio STRAIKER.
Ni goal Getter.

Anampenda kucheza No 10
nafasi
Saido +chama.

Mala nyingi namba 10 anakuwa play maker sio mfungaji
Phili si no 9.
Dah,
Striker sikumaanisha number 9 (Centre forward) kama ulivyowaza wewe, bali mshambuliaji. Au Phiri sio mshambuliaji? Yaani number 10 kwako sio mshambuliaji?

Wewe ndio bora uulize aisee, maandishi haya yanaishi na yanasomwa na wengi.
 
Aondoke yule mchezaji wa kung fu na kinara wa yellow card-sadio kanute. Mwingine wa kupewa Thank you ni mcheza mayenu-Henock Inonga
Ulishawahi kushuhudia Roy Keane au Patrick Vieira wakicheza enzi zao? Huyo ndio Sadio Kanute sasa.
 
Saa kumi na mbili jioni.
 
Dah,
Striker sikumaanisha number 9 (Centre forward) kama ulivyowaza wewe, bali mshambuliaji. Au Phiri sio mshambuliaji? Yaani number 10 kwako sio mshambuliaji?

Wewe ndio bora uulize aisee, maandishi haya yanaishi na yanasomwa na wengi.

Kwa mpira wa KISASA no 10 si mshambuliaji ni kiungo.
Playmaker.
11, 7 zamani walikuwa mawinga.
Lakini Leo Kuna version karibu 10 za mawinga.

Mfano.

Winga. (Banda)

Kiungo WA pembeni (sakho)

Winga mshambuliaji. (Onana)

Mshambuliaji WA pembeni. (KIBU)
 
Yanga wakikomaa wasivunje mkataba atafanya nini? Ni kweli msimbazi wana uhaba wa mabeki wa kati lakini Yanga hawawezi kumuachia aende Simba.

Ni either wamuuze, mkopo au abaki kumalizia mkataba wake aje aondoke freely.
Yanga hawamtaki bangala,hilo lishakua duka la try again na ndio maana Yanga iliposhtuka tu iliacha kumtumia match,Yanga ilishajiandaa kutokua na bangala toka mwishoni mwa last season na ndio maana kuna match hadi job alikua anacheza namba 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…