Tetesi: Yanick Bangala muda wowote anatua Msimbazi

Nafasi ya Goli keeper inaniuma sana ,hiyo ndio nafasi ilipaswa akae Bangala.
Phiri huwez kumtoa hapo Simba na Chama ndie anambeba phiri maana inasemekana chama kwanza hatak phiri akae benchi ndio maana Kuna game anachoma waz waz .
Ila wakicheza chama na phiri ndan yaan chama atapambana Kila namna amrishe home boy ma assist ya kutosha.
Hapo nafas ya golikeeper imeenda Bure bure
 
Dah,
Brother uelewa wako una walakini. Number 10 anaweza kua vyote viwili, kiswahili ni kiungo mshambuliaji ambae wazungu wanamuita "Attacking Midfielder" au "Inside 10".

Ila vyovyote utakavyotafsiri lakini Moses Phiri hatajwi kama kiungo, ni mshambuliaji. Awe anacheza 9 au 10 bado ni mshambuliaji. Wewe umeona wapi kua Phiri sio mshambuliaji?

Au unamzungumzia Moses Phiri yupi? Usikute hata tunazungumzia watu tofauti.
 
Yanga tumpeleke hata kwa mkopo.hatuna matumizi nae
 
Tujifunze nini, kama tusingekomaa kwa Fei tusingepata mil 270,so nyie si mna hela leteni hela.
Ml 270?? Ya magazetini... Yanga hawajalipwa pesa hoy...iyo ilikuwa media manipulation ndo maana wakakubaliana kutozungumzia Hasa Kwa feisal..
 
Yanga hawamtaki bangala,hilo lishakua duka la try again na ndio maana Yanga iliposhtuka tu iliacha kumtumia match,Yanga ilishajiandaa kutokua na bangala toka mwishoni mwa last season na ndio maana kuna match hadi job alikua anacheza namba 6
Ni kweli mkuu, Yanga iliamua kumuweka jamaa pembeni, na hata alishajua kabisa anakoenda hatoweza kuwa sambamba na Yanga.
 
Kama amemgomea mwajiri wake basi haendi popote. Tuko tayari tule hasara ya kumlipa mshahara lakini ataozea bench.
 
Atachukua nafasi ya nani??uwage unawaza kabla ya kuandika na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…