Tetesi: Yanick Bangala muda wowote anatua Msimbazi

Bangala ni bingwa wa kuendesha maandamano ya chini kwa chini,yeye na djuma ..waende tu huko huko
 
Mpeni hela zake za usajili acheni wizi,mtu akida hela zake mnasema hana nidhamu,??unadhani kina azizi ki wakija kukiamsha patatosha pale??shauri yenu
 
Ni kweli mkuu, Yanga iliamua kumuweka jamaa pembeni, na hata alishajua kabisa anakoenda hatoweza kuwa sambamba na Yanga.
Sizitaki mbichi hizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]lipeni watu hela zao,wale wana familia mjue
 
Kagoma sasa mnamlazimisha??vunjeni mkataba naye aende zake akafanye kazi zake nyingine.
Ataendelea kulipwa mshahara bila kucheza ajinenepee Hadi mashavu Kama Luise wa al ahiy(konde boy)
 
Kwenye hako kapesa ulipata ngapi shehe?
Hata nikikwambia nimepata itakusaidia nini.

Okay ninepata mil 100.......... ww unataka nikupe kiasi.

NB:Tatizo la kuujulia mpira ukubwani au hujui shabiki kama sehemu ya club. Unavyotamba humu TUMEMTOA Alhly vp ww ulicheza namba ngapi?
 

Simba wakimpata huyu mwamba akaungane na Inonga mambo itakuwa bien!
 
Hapo waangalie kati ya Kramo na Onana kama wata click na kama ni zaidi ya Phiri. Hapo mmoja wapo acheze kimataifa tu then ongeza Bangala hapo.
 
Ndio maana itabidi mmoja asajiliwe for international game ili Bangala aingie then Manula akipona Kipa mzungu aondoke.
 
Same moses phiri, different dates of birth.
 
Ndio maana itabidi mmoja asajiliwe for international game ili Bangala aingie then Manula akipona Kipa mzungu aondoke.
Kama hili linawezekana, maanake kumbe timu inaweza kusajili wachezaji hata 20 wa kigeni. Wachezaji 8 watacheza kwenye ligi kuu na wachezaji 12 watakuwa wamesajiliwa kwa mashindano ya kimataifa tu. Najaribu kuwaza kwa upana juu ya hili
 
Hapo waangalie kati ya Kramo na Onana kama wata click na kama ni zaidi ya Phiri. Hapo mmoja wapo acheze kimataifa tu then ongeza Bangala hapo.
Nafasi ya Bangala kuja Simba ni finyu. Yanga hawawezi kumuachia aje Simba. Kuliko hivyo basi heri abaki tu Yanga asugue Benchi mpaka Mkataba wake utakapoisha.
 
Kuwafuta machozi ya Mkude kivipi wakati Mkude aliachwa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…