Yapi ni Mavazi sahihi kwa Mwanaume kwaajili ya Mtoko wa kukutana na Mwanamke kwa mra ya kwanza?

Tupia
1.Track suti yoyote
2.Jezi ya Taifa stars
3.Beba vuvuzela rangi ya njano/kijani
Hapo mtoto hachomoki
 
Ushauri mzuri.
 
Vaa jinsi ya njano na shati la orange na kofia ya pama.
 
Watu kama wewe ndio mnafaa kwa jamii. Asante sana
 
Thread kama hii typically ni ya wanaume wa Dar probably watoto wa chuo
Wewe nadhani utakuwa miongoni mwa wale vijana wanaosumbuliwa na matatizo ya akili
 
Huwa nikiwa nakutana na mwanamke navaa ifuatavyo
1. navaa kadet safi imenyooka(ZERO MPAUKO)
2. Shati la mikono mirefu(ZERO MPAUKO)rangi flan za kinyama si za kungaa mfano kijani, njano
3. Kiatu cha brown au nyeusi ila vile vya kungaa
4. Perfume kali wanawake wanapenda wanaume wanaonukia
5. Malipo yote nafanya kwa njia ya simu
6. Confidence muhimu kwenda nayo pia😂

NB: Wanaume tusivae nguo mpaka ipauke🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…