Yapi ni Mavazi sahihi kwa Mwanaume kwaajili ya Mtoko wa kukutana na Mwanamke kwa mra ya kwanza?

Yapi ni Mavazi sahihi kwa Mwanaume kwaajili ya Mtoko wa kukutana na Mwanamke kwa mra ya kwanza?

Tupia
1.Track suti yoyote
2.Jezi ya Taifa stars
3.Beba vuvuzela rangi ya njano/kijani
Hapo mtoto hachomoki
 
Nyoa nywele zako vizuri zilingane usiweke mtindo
Vaa suruali cadet
Shati la mikono mirefu litapendeza zadi liwe jeupeeee
Rangi ya mkanda wa suruali iendane na rangi ya kiatu

Saa nzuri mkononi
Nukia vizuri
Ukikutana nae ongea vitu vya maana

Epuka kumuita majina ya hovyo kama oya n.k
Ushauri mzuri.
 
Vaa jinsi ya njano na shati la orange na kofia ya pama.
 
Vaa suruali kama kadeti iwe safi isiwe imepauka kama imeanikwa kweny paa la nyumba kama ni jeans yenye rangi iliyotulia sijui imechanika au Ina mipauko .


Kama kadeti Vaa na shati na kama jeans tafuta fulana imetulia isiwe na rangi mbili na zaidi kama mavi ya kuku.

Perfume nzuri achana na hizi yeboyebo chukua unisex PEGASUS
Watu kama wewe ndio mnafaa kwa jamii. Asante sana
 
Thread kama hii typically ni ya wanaume wa Dar probably watoto wa chuo
Wewe nadhani utakuwa miongoni mwa wale vijana wanaosumbuliwa na matatizo ya akili
 
Huwa nikiwa nakutana na mwanamke navaa ifuatavyo
1. navaa kadet safi imenyooka(ZERO MPAUKO)
2. Shati la mikono mirefu(ZERO MPAUKO)rangi flan za kinyama si za kungaa mfano kijani, njano
3. Kiatu cha brown au nyeusi ila vile vya kungaa
4. Perfume kali wanawake wanapenda wanaume wanaonukia
5. Malipo yote nafanya kwa njia ya simu
6. Confidence muhimu kwenda nayo pia😂

NB: Wanaume tusivae nguo mpaka ipauke🤣🤣
 
Back
Top Bottom