Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri mzuri.Nyoa nywele zako vizuri zilingane usiweke mtindo
Vaa suruali cadet
Shati la mikono mirefu litapendeza zadi liwe jeupeeee
Rangi ya mkanda wa suruali iendane na rangi ya kiatu
Saa nzuri mkononi
Nukia vizuri
Ukikutana nae ongea vitu vya maana
Epuka kumuita majina ya hovyo kama oya n.k
Jokes mkuuHuwezi kuwa serious. Point ya kwanza nlianza kuielewa.
Watu kama wewe ndio mnafaa kwa jamii. Asante sanaVaa suruali kama kadeti iwe safi isiwe imepauka kama imeanikwa kweny paa la nyumba kama ni jeans yenye rangi iliyotulia sijui imechanika au Ina mipauko .
Kama kadeti Vaa na shati na kama jeans tafuta fulana imetulia isiwe na rangi mbili na zaidi kama mavi ya kuku.
Perfume nzuri achana na hizi yeboyebo chukua unisex PEGASUS
Pia ningependa nipendekezewe na perfume. Usiniambie nigoogle please.
Nenda ple m.city duka la kwannza limepakana n J.D parmacy wanauza na simu pia na J.d pharmacy zipo, ila pia kam utakuta zimeisha hapo nenda lile la juu limepakana n woorthworh
Nenda ple m.city duka la kwannza limepakana n J.D parmacy wanauza na simu pia na J.d pharmacy zipo, ila pia kam utakuta zimeisha hapo nenda lile la juu limepakana n woorthworh
Akariju na hapo kuangalia ndio hapo hapoUnamaanisha S.H.Amon
Akariju na hapo kuangalia ndio hapo hapo
Kuna baadhi ya vitu bei yao ni ndogoWale washenzi wanauza vitu gharama sana haswa hizo pafyumu...