Yapi ni Mavazi sahihi kwa Mwanaume kwaajili ya Mtoko wa kukutana na Mwanamke kwa mra ya kwanza?

Yapi ni Mavazi sahihi kwa Mwanaume kwaajili ya Mtoko wa kukutana na Mwanamke kwa mra ya kwanza?

Si umeona walivyo damsh hapa
Screenshot_20230324_180716_Instagram.jpg
 
Tatzo mnakuw location unaanz kuagz chips yai mishikaj bro kula hv ndio uend hukooo then fk agiza ndizi na mbuz choma
IMG_20230322_170122.jpg
 
Habari,

Watu wa masuala ya urembo na utanashati.

Mimi ni kijana wa kiume. Ningependa kupata muongozo wa mavazi ya kawaida (casual wear ) kwa ajili ya kuendea date kwa kijana wa kiume. Nimejipata napata shida kufahamu ni namna gani naweza vaa ili kuimuimpress nitakaekuwa nae.

Pia ningependa nipendekezewe na perfume. Usiniambie nigoogle please.

Natanguliza shukurani.
Thread kama hii typically ni ya wanaume wa Dar probably watoto wa chuo
 
Mie nikienda kuonana na Mtoto mzuri haijalishi ni first time or wereva..

Chini- Kadet (Khaki/brown) sio bwanga ya kawaida na wala sio kichupa.. + Mkanda Black + (Sometimes Earpods case)

Mguuni - Boot flan la kupanda (Timberland style flan) or something smooth like Chelsea Boot. (Black or Brown)

Juu- Shirt la mikono mirefu (Jeans style) White/ Light blue- Grey plain or White iwe na culture styles zenye Blackish elements.

Shingoni - Necklace ya Gold (inatupiwa kwa ndan so inaonekana kwa mbaaaali)

Mkononi Saa (Gold mkono wa kushoto) Mkono wa kulia Bracelet ya Shaba (Thin.......).

Kichwani inategemea (Kofia mara moja moja sana) pemben na sunglasses just incase nikiw na ride kwenye jua or wateva the case.

Kuhusu manukato ( Nacheza ga na Tomford + Versace things) huwa kuna Mixing moja hivi matata.

Hela kias sio sana so malipo jitahid kulipa kwa BANK card. (Utajiwekea heshima).

Jitahid first date usijikweze sana stay low and gentle
Ahsante sana mwamba
 
Mavazi inategemea na maeneo uendako pia hali ya hewa ikoje hapo cha kwanza wewe ndiye wa kwanza kusoma location ipoje uvae vipi pia demu wa kiswazi ni tofauti na uzunguni au familia ya kati usije vaa koti na demu wa mama kiponge atajua wewe comedian kumbe wewe umetoka Chugga vaa simple tu ila mchawi pesa
 
Back
Top Bottom