To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Aisee,hili balaaMtindo tu huo 😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee,hili balaaMtindo tu huo 😅😅
AiseeMtindo tu huo 😅😅
Si umeona walivyo damsh hapaAisee
Yeah,so goodSi umeona walivyo damsh hapaView attachment 2564016
Hata hilo lipo goodo sanaYeah,so good
Mbona Kama wanaenda kukagua mashamba ya mpunga?Yeah,so good
Anaenda mwezini?Hata hilo lipo goodo sanaView attachment 2564020
Ila wamependeza sanaMbona Kama wanaenda kukagua mashamba ya mpunga?
😆😆Wamependeza kwa kuwa ni celebrities au? hapana aseeh 😆😆Ila wamependeza sana
Hata tukivaa mi nawe kitaa,ni poa tu😆😆Wamependeza kwa kuwa ni celebrities au? hapana aseeh 😆😆
Na mask hataambuli ndade
pande za Kyela tuwe kama tuenda shamba la mpunga 😆Hata tukivaa mi nawe kitaa,ni poa tu
Em huko!😂😂pande za Kyela tuwe kama tuenda shamba la mpunga 😆
Thread kama hii typically ni ya wanaume wa Dar probably watoto wa chuoHabari,
Watu wa masuala ya urembo na utanashati.
Mimi ni kijana wa kiume. Ningependa kupata muongozo wa mavazi ya kawaida (casual wear ) kwa ajili ya kuendea date kwa kijana wa kiume. Nimejipata napata shida kufahamu ni namna gani naweza vaa ili kuimuimpress nitakaekuwa nae.
Pia ningependa nipendekezewe na perfume. Usiniambie nigoogle please.
Natanguliza shukurani.
Ahsante sana mwambaMie nikienda kuonana na Mtoto mzuri haijalishi ni first time or wereva..
Chini- Kadet (Khaki/brown) sio bwanga ya kawaida na wala sio kichupa.. + Mkanda Black + (Sometimes Earpods case)
Mguuni - Boot flan la kupanda (Timberland style flan) or something smooth like Chelsea Boot. (Black or Brown)
Juu- Shirt la mikono mirefu (Jeans style) White/ Light blue- Grey plain or White iwe na culture styles zenye Blackish elements.
Shingoni - Necklace ya Gold (inatupiwa kwa ndan so inaonekana kwa mbaaaali)
Mkononi Saa (Gold mkono wa kushoto) Mkono wa kulia Bracelet ya Shaba (Thin.......).
Kichwani inategemea (Kofia mara moja moja sana) pemben na sunglasses just incase nikiw na ride kwenye jua or wateva the case.
Kuhusu manukato ( Nacheza ga na Tomford + Versace things) huwa kuna Mixing moja hivi matata.
Hela kias sio sana so malipo jitahid kulipa kwa BANK card. (Utajiwekea heshima).
Jitahid first date usijikweze sana stay low and gentle