Tukusaidieje?
Comrade umesema "UKIWASIKILIZA WATU WENGI...."
Unaweza kunidadavulia KUHUSU IDADI YAO?!!!
NA TAFITI YAKO ILIFATA KANUNI ZOTE ZITAKIWAZO?!!!!
SI vyema KUJITIA HOFU binafsi na kuwatia wenzako HAMANIKO lisilo na sababu....
Sisemei baadhi ya WANANCHI wa Dar es salaam WANAORIDHISHWA na kiwango kikubwa Cha MAENDELEO na mabadiliko yaliyopitiliza katika awamu hii ya 5.
Kule mikoani na vijijini,mh.MAGUFULI ANAONEKANA PEKEE MBEBA VISION YA FOUNDING FATHERS WA NCHI HII...
Endelea kufanya TAFITI kinyume chake uyasemayo yatakuwa ni UNAJIMU TU.
Wana ccm na watu wengine mnaofaidika na uongozi uliopo mnapashwa kufanya haya;Tukusaidieje?
1.Rais anashindwaje kuambiwa ukweli mwingi na wanachama nguli Kama mzee Mangula na WENGINEO?!!!unataka VIKAO VYA CC, NEC,Baraza la ushauri la wazee VIKAE UPENUNI NA KURUSHWA HEWANI?Wana ccm na watu wengine mnaofaidika na uongozi uliopo mnapashwa kufanya haya;
1. Kwanza kumwambia rais ukweli, najua hili ni jambo ngumu sana na hatari kwenu,
2. Kutokutimiza amri na maagizo hasa yenye kukosa haki kwa raia, najua pia hili ni jambo ngumu sana kwenu,
3. Nyie wenyewe binafsi kutoshiriki vitendo vya kionevu, hili ni rahisi
4. Kushiriki katika harakati za kuleta mabadiliko ya kweli katika taifa letu, hili linahitaji upeo mkubwa na kujitoa sadaka ila linawezekana
5. Tuendelee kukumbushana kuhusu Tanzania yetu iliyokuwa nzuri na umuhimu wa kuirudisha pepo ile ambayo kwa wengi imekuwa sasa historia tu
Watanzania tunapaswa kufikiri vizuri zaidi na kuacha ubinafsi na ugonjwa wa kumtukuza mtu. Tulitukuze taifa letu kwani kumtukuza mtu ni kumfanya awe na kiburi na kufikiri maovu yake ni upendo kwa watu wengine.
Amani haimaanishi kutokuwepo vita. Amani inamaanisha uwepo wa uhuru, haki, uwazi n.k. Leo hii hata waziri mkuu hana uhuru wa kutangaza ukweli wa takwimu za kitaifa. Propaganda ni mbaya sana: Ummy alipaswa kujiuzulu kwa kushindwa kutoa takwimu za corona lakini ametukuzwa na kuinuliwa juu ya mawaziri wote kwa kuficha takwimu za corona na kuzika wahanga wa corona mazishi dhalili usiku wa manane bila wapendwa wao kushirikishwa. Hili ni kosa kubwa dhidi ya haki za binadamu na inasikitisha watanzania wengine wanashabikia ufedhuli huu.Hii mada ilivyoandikwa kama uponje ya nchi unaweza dhani tanzania kunahali mbaya ya amani,watu hawatoki nje,polisi wamezagaa mitaani.
Wakati sikweli ni maandishi tu mtoa mada kaandika.
Asante Jumbe, watanzania waelewe tupo pabaya na tunaelekea pabaya zaidi awamu ya pili.1.Rais anashindwaje kuambiwa ukweli mwingi na wanachama nguli Kama mzee Mangula na WENGINEO?!!!unataka VIKAO VYA CC, NEC,Baraza la ushauri la wazee VIKAE UPENUNI NA KURUSHWA HEWANI?
Nakukumbusha kuwa mjumbe wa BARAZA LA USHAURI LA WAZEE mh.Mzee Mkapa alishawahi KUMKUMBUSHA mh.Magufuli ASISEME SERIKALI YAKE...BALI ASEME SERIKALI YA CCM(hii ilikuwa HADHARANI Sasa faragha inakuwaje).
NakaziaTangu misingi ya dunia iwekwe hakujawahi kuwa na awamu ya hovyo kama hii ya tano inayoongozwa na ccm
5.Umesema Tanzania ilikuwa PEPO...na mnataka kuturudisha huko peponi FIRDAWS...acha kuongopa swahiba...1.Rais anashindwaje kuambiwa ukweli mwingi na wanachama nguli Kama mzee Mangula na WENGINEO?!!!unataka VIKAO VYA CC, NEC,Baraza la ushauri la wazee VIKAE UPENUNI NA KURUSHWA HEWANI?
Nakukumbusha kuwa mjumbe wa BARAZA LA USHAURI LA WAZEE mh.Mzee Mkapa alishawahi KUMKUMBUSHA mh.Magufuli ASISEME SERIKALI YAKE...BALI ASEME SERIKALI YA CCM(hii ilikuwa HADHARANI Sasa faragha inakuwaje).
Yuko pale ufipa, kwa vyovyote lazima aseme watu wengi!Comrade umesema "UKIWASIKILIZA WATU WENGI...."
Unaweza kunidadavulia KUHUSU IDADI YAO?!!!
NA TAFITI YAKO ILIFATA KANUNI ZOTE ZITAKIWAZO?!!!!
SI vyema KUJITIA HOFU binafsi na kuwatia wenzako HAMANIKO lisilo na sababu....
Sisemei baadhi ya WANANCHI wa Dar es salaam WANAORIDHISHWA na kiwango kikubwa Cha MAENDELEO na mabadiliko yaliyopitiliza katika awamu hii ya 5.
Kule mikoani na vijijini,mh.MAGUFULI ANAONEKANA PEKEE MBEBA VISION YA FOUNDING FATHERS WA NCHI HII...
Endelea kufanya TAFITI kinyume chake uyasemayo yatakuwa ni UNAJIMU TU.
Halafu mtaanza kuuana wenyewe sasa.Wana hofu ya kushindwa hao wanaweweseka
Tutawachapa hadi waikimbie siasa
Unajicontradict Sana wakati mwingine Kama hivi ulivyoandika kumuunga mkono mleta hoja kuwa yote uliyotaja yalitokea chini ya uongozi wa ccm. Huoni kuwa ccm inatakiwa kubadilika Sasa ili yasitokee Tena na pia iombe radhi kwa kuwakosea wananchi?5.Umesema Tanzania ilikuwa PEPO...na mnataka kuturudisha huko peponi FIRDAWS...acha kuongopa swahiba...
Tanzania ya EPA(pepo)?
Tanzania ya DEEP GREEN(pepo)?
Tanzania ya MEREMETA(pepo)?
Tanzania ya TANGOLD(pepo)?
Tanzania ya IPTL then ESCROW(pepo)?
TANZANIA ya KAGODA(pepo)?
Tanzania ya TWIGA WETU KUSAFIRISHWA WAKIWA WAMEPAKATWA KTKA NDEGE(pepo)?
Tanzania ya wafanyakazi hewa huku graduates wakikosa kazi(pepo)?
TANZANIA ya watoto wa kike kuteseka kupata mikopo HESLB MPAKA wengine KUNGONOLEWA(pepo)?
Daaah...
Tanzania.....
Tanzania.....
Tanzania.....
SIMALIZI
Fazili ha ha ha ha unajua nn Kaka una hofu ISIYO mashiko TU...yaani km ni UGONJWA ukonao basi NI PARANOID DELUSION....Asante Jumbe, watanzania waelewe tupo pabaya na tunaelekea pabaya zaidi awamu ya pili.