Yatakayoendelea kutoka sasa hadi Oktoba mwaka huu si mazuri kwa CCM

Yatakayoendelea kutoka sasa hadi Oktoba mwaka huu si mazuri kwa CCM

Jomba huo ni mtazamo wako kuna wana hawawazi hata uliyoyaandika kabisa na wanakwambia wazi tu nini mitazamo yao.
 
Mahakama ya mafisadi na viwanda viko wapi?
Tatizo lenu ni km watoto vile...
Yaani MPAKA muda huu huna HABARI kuwa mahakama hiyo ipo na inaendelea kusikiliza mashauri na kutoa hukumu?!!!
Rejea ile hukumu ya ZAIDI ya miaka 300 kwa wale wafanyakazi wawili wa ICD waliosabibishia serikali hasara ya ZAIDI ya bilioni 12.
Mashauri na hukumu mbona nyingi TU KALAGHABAHO.
Karibu hapa nalamba ile FARU JOHN ya mheshimiwa mwenyekiti😂😂😂
 
Katika watu mavi kichwani ni wewe kweli elimu haimsaidii mtu
Mkulungwa mbona povu na Argumentum Ad hominem...nilitegemea utanichallenge wa hoja badala yake umetamalaki kivioja...
Wizara ya mifugo imeanzisha kampeni tuwe tunakunywa maziwa tusisimue neva BONGONI,tatizo lenu ni kulamba Sana ile kitu FARU JOHN kwi kwi kwi kwi
 
Tatizo lenu ni km watoto vile...
Yaani MPAKA muda huu huna HABARI kuwa mahakama hiyo ipo na inaendelea kusikiliza mashauri na kutoa hukumu?!!!
Rejea ile hukumu ya ZAIDI ya miaka 300 kwa wale wafanyakazi wawili wa ICD waliosabibishia serikali hasara ya ZAIDI ya bilioni 12.
Mashauri na hukumu mbona nyingi TU KALAGHABAHO.
Karibu hapa nalamba ile FARU JOHN ya mheshimiwa mwenyekiti[emoji23][emoji23][emoji23]
basi iyo mahakama ina adhibu watu too selective kangi lugola mkuu wa zimamoto wao vipi mkuu?
 
basi iyo mahakama ina adhibu watu too selective kangi lugola mkuu wa zimamoto wao vipi mkuu?
Tatizo lenu mko selective mno...mnapendekeza nyinyi majina ya watuhumiwa HALAFU mnakuwa mahakimu....
Kuna tatizo KIDOGO kwa baadhi ya VIJANA wa taifa HILI...
 
Wana ccm na watu wengine mnaofaidika na uongozi uliopo mnapashwa kufanya haya;
1. Kwanza kumwambia rais ukweli, najua hili ni jambo ngumu sana na hatari kwenu,
2. Kutokutimiza amri na maagizo hasa yenye kukosa haki kwa raia, najua pia hili ni jambo ngumu sana kwenu,
3. Nyie wenyewe binafsi kutoshiriki vitendo vya kionevu, hili ni rahisi
4. Kushiriki katika harakati za kuleta mabadiliko ya kweli katika taifa letu, hili linahitaji upeo mkubwa na kujitoa sadaka ila linawezekana
5. Tuendelee kukumbushana kuhusu Tanzania yetu iliyokuwa nzuri na umuhimu wa kuirudisha pepo ile ambayo kwa wengi imekuwa sasa historia tu
Watanzania tunapaswa kufikiri vizuri zaidi na kuacha ubinafsi na ugonjwa wa kumtukuza mtu. Tulitukuze taifa letu kwani kumtukuza mtu ni kumfanya awe na kiburi na kufikiri maovu yake ni upendo kwa watu wengine.

kwan KUB akifanya vizuri si na yeye atatukuzwa? sasa kwann unalazimisha watu waache mahaba yao? mbna 2015 mlipata mapenzi yote ya watanzania mkaharibu wenyewe,
 
H
Ni hatari kuzungumza ukweli awamu hii ya kidikteta.
CDM walishawahi kumuita JK dikteta...naye akajibu hivi "kweli mm jakaya dikteta,wanawajua madikteta jamani..."
Longolongo zenu acheni jama
 
Amani haimaanishi kutokuwepo vita. Amani inamaanisha uwepo wa uhuru, haki, uwazi n.k. Leo hii hata waziri mkuu hana uhuru wa kutangaza ukweli wa takwimu za kitaifa. Propaganda ni mbaya sana: Ummy alipaswa kujiuzulu kwa kushindwa kutoa takwimu za corona lakini ametukuzwa na kuinuliwa juu ya mawaziri wote kwa kuficha takwimu za corona na kuzika wahanga wa corona mazishi dhalili usiku wa manane bila wapendwa wao kushirikishwa. Hili ni kosa kubwa dhidi ya haki za binadamu na inasikitisha watanzania wengine wanashabikia ufedhuli huu.
Watu wanaogopa. Ni kunguru wanakimbiza mbawa zao ni kama darasa linalomuogopa mwalimu lakini wanamtii. Akisema sawasawa wanaitika ndiyooo. Siku ya kuwaaga wanafunzi ndipo mwalimu anapigwa butwaa. Kumbe! Gizani watu haohao ni wengine kabisa tofauti na wakiwa kwenye mwanga
 
Kuzika usiku wa manane ni snema mlizotengeneza nyinyi na tunawajua.
takwimu ni namba wala hazisaidii kupunguza corona kikubwa ni kuwa na tahadhari.corona haikuletwa na serikali.
Pambana na hali yako.
Ni kweli kabisa namba hazipunguzi. Tungesema wazi zaidi. Je, dunia inakosea kwenda na namba? Kwa nini?
Na sisi tumo humo, kutaja namba za wenzetu, Kenya, Brazi, Marekani wamefika idadi kadhaa. Hiyo ni sawa!
 
wenzenu nao wataacha kutoa namba soon.sio kila jambo ni la kuiga eti kisa kafanya U.S ama ulaya.
 
Kwa haya yanayojiri katika kipindi cha miezi mitatu hivi hadi Watanzania waingie kwenye vyumba vya kupiga kura sio mambo mazuri kwa CCM na uongzi uliopo.

Vitendo vingi sana vya unyanyasaji wa wana siasa vinaendelea wakati huu. Mnaojua ukweli ni kwamba vitendo hivi vitazidi kuongezeka hasa wakati wa kampeni na kufanya watu wengi kuzidi kuchukizwa na hali ya haki na usalama wa watu ambayo tayari imeshakuwa mbaya.

Uongozi mbaya mara zote huleta mwisho wake wenyewe. Uongozi uliopo sasa unaweza kufikiri kuwa kwa kuwabana wananchi na kutumia nguvu ndio vitawasafishia njia, lakini ukweli ni kwamba hali ndio inazidi kuwa mbaya zaidi.

Ukiwasikiliza watu wengi utagundua wamechoka na hawana imani tena na uongozi uliopo. Machache mazuri hayawezi kuficha mengi mabaya.

Haki ya MAMA, hebu nitajie ZURI angalau MOJA TU!
 
Watu wanaogopa. Ni kunguru wanakimbiza mbawa zao ni kama darasa linalomuogopa mwalimu lakini wanamtii. Akisema sawasawa wanaitika ndiyooo. Siku ya kuwaaga wanafunzi ndipo mwalimu anapigwa butwaa. Kumbe! Gizani watu haohao ni wengine kabisa tofauti na wakiwa kwenye mwanga
Magu amewafanya watu kuwa wanafiki wakubwa.
 
Haki ya MAMA, hebu nitajie ZURI angalau MOJA TU!
Ni vigumu kutaja jambo zuri lililofanywa na jiwe bila kujikuta kunakuwa na upande mwingine mbaya. Ndege za jiwe hadi sasa zinaleta hasara tupu na haisemwi.
 
Back
Top Bottom