NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,278
- 24,079
Kuzika usiku wa manane ni snema mlizotengeneza nyinyi na tunawajua.Amani haimaanishi kutokuwepo vita. Amani inamaanisha uwepo wa uhuru, haki, uwazi n.k. Leo hii hata waziri mkuu hana uhuru wa kutangaza ukweli wa takwimu za kitaifa. Propaganda ni mbaya sana: Ummy alipaswa kujiuzulu kwa kushindwa kutoa takwimu za corona lakini ametukuzwa na kuinuliwa juu ya mawaziri wote kwa kuficha takwimu za corona na kuzika wahanga wa corona mazishi dhalili usiku wa manane bila wapendwa wao kushirikishwa. Hili ni kosa kubwa dhidi ya haki za binadamu na inasikitisha watanzania wengine wanashabikia ufedhuli huu.
takwimu ni namba wala hazisaidii kupunguza corona kikubwa ni kuwa na tahadhari.corona haikuletwa na serikali.
Pambana na hali yako.