Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,993
Lijuakali alielezea jinsi walivyoina kura...
Nchi zote zenye viongozi wenye mitazamo ya kikomunisti hujenga hofu kwa wananchi, na hutengeza mapenzi ya shuruti. Mara nyingi viongozi wa aina hiyo huwa hawaheshimu box la kura kwani wanajua watapata matokeo yasiyowafurahisha. Na huwa wanahakikisha wapinzani wao hawapati nafasi yoyote ya kuwa karibu na wananchi, kwani wanajua fika watu hawana mapenzi nao, zaidi ya hofu.