Comrade umesema "UKIWASIKILIZA WATU WENGI...."
Unaweza kunidadavulia KUHUSU IDADI YAO?!!!
NA TAFITI YAKO ILIFATA KANUNI ZOTE ZITAKIWAZO?!!!!
SI vyema KUJITIA HOFU binafsi na kuwatia wenzako HAMANIKO lisilo na sababu....
Sisemei baadhi ya WANANCHI wa Dar es salaam WANAORIDHISHWA na kiwango kikubwa Cha MAENDELEO na mabadiliko yaliyopitiliza katika awamu hii ya 5.
Kule mikoani na vijijini,mh.MAGUFULI ANAONEKANA PEKEE MBEBA VISION YA FOUNDING FATHERS WA NCHI HII...
Endelea kufanya TAFITI kinyume chake uyasemayo yatakuwa ni UNAJIMU TU.
Ki
Kila anayewajibu kwa hoja mnasema anachukua POSHO sijui wapi kwi kwi kwi wengine tunakula Bata mbugani Sadani huku,mbeleni tuko na chupa kubwaaa km zile FARU JOHN za mwenyekiti desh desh...
Vichwa vyetu VINA THAMANI ZAIDI YA HIO POSHO YA LUNCH...matopolo nyinyi kwi kwi kwi in Hallima Mdee voice
Ila naona sasa hawa jamaa wanaotunyanyasa wanatusaidia kuonyesha unyama na udhalimu wa CCM. Nawasihi endeleeni tu kutupiga na kutubambikia kesi nimegundua nyie ni msaada kwetu kuionyesha dunia kuwa CCM siyo chama cha siasa tena bali ni genge la kihalifu linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala.Kwa haya yanayojiri katika kipindi cha miezi mitatu hivi hadi Watanzania waingie kwenye vyumba vya kupiga kura sio mambo mazuri kwa CCM na uongzi uliopo.
Vitendo vingi sana vya unyanyasaji wa wana siasa vinaendelea wakati huu. Mnaojua ukweli ni kwamba vitendo hivi vitazidi kuongezeka hasa wakati wa kampeni na kufanya watu wengi kuzidi kuchukizwa na hali ya haki na usalama wa watu ambayo tayari imeshakuwa mbaya.
Uongozi mbaya mara zote huleta mwisho wake wenyewe. Uongozi uliopo sasa unaweza kufikiri kuwa kwa kuwabana wananchi na kutumia nguvu ndio vitawasafishia njia, lakini ukweli ni kwamba hali ndio inazidi kuwa mbaya zaidi.
Ukiwasikiliza watu wengi utagundua wamechoka na hawana imani tena na uongozi uliopo. Machache mazuri hayawezi kuficha mengi mabaya.
Kama alikuwa msafi angejiuzulu, kuendelea kuwa mmoja wao maana yake anayakubali maovu yote.Tatizo VIJANA wa CDM NI WEPESI SANA,SIJAPATAPO KUMUONA SMART CRITIC miongoni mwa MAGENGE YENU...
Hamhifadhi kumbukumbu ya YANAYOTOKEA HAPA NCHINI...
NIWAKUMBUSHE NYINYI matopolo...
Wakati akiweka msingi wa flyover pale ubungo mh.Magufuli alimwambia mh.PINDA kuwa KIPINDI akiwa waziri wa UJENZI alitaka kulivunja lile jengo la TANESCO UBUNGO(kwa kutofuata taratibu za barabara)..akasema HAKUWEZA KUTIMIZA HILO KWA KUWA HAKUWA NA MENO NA ALITII ALIPOZUIWA NA WAZIRI WAKE MKUU,ILA SASA AMEKUWA NDIO TOP...AMEZIVUA ZILE PINGU ALIZOVISHWA....
Karibu jichupa la FARU JOHN hapa kwi kwi kwi in Bulaya voice
Yaani kweli VIJANA waCDM mapopoma... KOMREDI Mrisho Gambo Wala HAJATUMIKA NA WALA HAJATUPWA....Wewe hujijui tu, tuulize sisi ambao tunaifahamu CCM vizuri. Kijana wakeup, unatumika kama KONDOMU na mwishowe utatupwa huko kama GAMBO. Shauri yako.
Amefuata nyayo za Magesa Mulongo, unaweza kutuambia alipo we mlamba MASABURI?Yaani kweli VIJANA waCDM mapopoma... KOMREDI Mrisho Gambo Wala HAJATUMIKA NA WALA HAJATUPWA....
Kwani aliokwambia nafasi za UTEUZI NI professional yenye hatimiliki EEE?
Kwanza Gambo ameshakuwa RC na anaweza akateuliwa tena POPOTE km ALIVYOTEULIWA TENA MH.MWIGULU NCHEMBA....
Karibu Cha "mwenyekiti" hapa lol!
Ni rahisi kiasi hicho EEE?!!!Kama alikuwa msafi angejiuzulu, kuendelea kuwa mmoja wao maana yake anayakubali maovu yote.
Naona umekuja na argumentum ad Hominem...Karibu bwana utopolo!Mtu mwenye hoja hawezi kuandika, kisha akawa anachanganya herufi kubwa na ndogo.
Sure komredi yaani we acha tu..kweli jamaa wasanii....lakini unategemea nini ilihali viongozi wao WOTE wanafanana....Hii mada ilivyoandikwa kama uponje ya nchi unaweza dhani tanzania kunahali mbaya ya amani,watu hawatoki nje,polisi wamezagaa mitaani.
Wakati sikweli ni maandishi tu mtoa mada kaandika.
Hutu HutuHalafu mtaanza kuuana wenyewe sasa.
Vipi Membe bado ndo mgombea uraisi kwa ticket ya CCM na bado ni suala la muda tu!?., Nimegundua watanzania kwa kujipa matumaini mwaweza kuwa mnaongoza duniani.Ila naona sasa hawa jamaa wanaotunyanyasa wanatusaidia kuonyesha unyama na udhalimu wa CCM. Nawasihi endeleeni tu kutupiga na kutubambikia kesi nimegundua nyie ni msaada kwetu kuionyesha dunia kuwa CCM siyo chama cha siasa tena bali ni genge la kihalifu linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala.
Ndiyo yeye ni suala la muda tu.Vipi Membe bado ndo mgombea uraisi kwa ticket ya CCM na bado ni suala la muda tu!?., Nimegundua watanzania kwa kujipa matumaini mwaweza kuwa mnaongoza duniani.
Hahahaa.... Mwisho wa kurudisha fomu kwa CCM ni jumanne tarehe 30 June. Na tarehe 11 July anachaguliwa mgombea kwa ticket ya CCM. Sasa huyo Membe labda aje huko CHADEMA au aende ACT/NCCR labda.Ndiyo yeye ni suala la muda tu.
Lolote laweza tokeaHahahaa.... Mwisho wa kurudisha fomu kwa CCM ni jumanne tarehe 30 June. Na tarehe 11 July anachaguliwa mgombea kwa ticket ya CCM. Sasa huyo Membe labda aje huko CHADEMA au aende ACT/NCCR labda.
Bosi wako mzungu ndio ameenda huko.Lazima aende na mtumishi wake wa kazi za ndani na ndio maana amekuchukua na weweKi
Kila anayewajibu kwa hoja mnasema anachukua POSHO sijui wapi kwi kwi kwi wengine tunakula Bata mbugani Sadani huku,mbeleni tuko na chupa kubwaaa km zile FARU JOHN za mwenyekiti desh desh...
Vichwa vyetu VINA THAMANI ZAIDI YA HIO POSHO YA LUNCH...matopolo nyinyi kwi kwi kwi in Hallima Mdee voice
Kwa haya yanayojiri katika kipindi cha miezi mitatu hivi hadi Watanzania waingie kwenye vyumba vya kupiga kura sio mambo mazuri kwa CCM na uongzi uliopo.
Vitendo vingi sana vya unyanyasaji wa wana siasa vinaendelea wakati huu. Mnaojua ukweli ni kwamba vitendo hivi vitazidi kuongezeka hasa wakati wa kampeni na kufanya watu wengi kuzidi kuchukizwa na hali ya haki na usalama wa watu ambayo tayari imeshakuwa mbaya.
Uongozi mbaya mara zote huleta mwisho wake wenyewe. Uongozi uliopo sasa unaweza kufikiri kuwa kwa kuwabana wananchi na kutumia nguvu ndio vitawasafishia njia, lakini ukweli ni kwamba hali ndio inazidi kuwa mbaya zaidi.
Ukiwasikiliza watu wengi utagundua wamechoka na hawana imani tena na uongozi uliopo. Machache mazuri hayawezi kuficha mengi mabaya.
Hakuna msafi CCMN
Ni rahisi kiasi hicho EEE?!!!
Kutokujiuzulu kumembakisha akiwa na NGUVU ZAIDI ya kutenda Yale ALIYOZUIWA....
HUYO NDIYE MWANAUME WA CHATO...
Pamoja na tuhuma lukuki kwa miaka 20 Sasa dhidi ya mh.FARU JOHN ndani ya chama Cha UTOPOLO,kamwe HAJAJIUZULU....