Tetesi: Yawezekana hiki ndio kilichopelekea Kinana alalamikie Traffic

Tetesi: Yawezekana hiki ndio kilichopelekea Kinana alalamikie Traffic

Mh Kinana kakerwa na Trafiki huenda alipita hii njia kutokea Njiapanda hadi Arusha wanajipanga hivi.

Njiapanda - 4
Uchira - 4
Kawawa - 8
Mjohoroni - 2
Kiboriloni - 6
Changbay - 5
Kibosho - 4 na mmoja wakike mkalii
Mali Sita - 8
Machame - 4
Kwasadala - 11
Boma - 16
Kwa wasomali - 4
KIA - 4
King'ori - 2
Kikatiti - 6
Maji ya Chai - 12
USA - 16
Leganga - 4
Makumira - 4
Tengeru - 8
Kwa Mrefu - 8
Ngulelo - 4
Kimandolu - 4
Kwa Shabani - 6
Philips - 8
MountMeru - 2
Sanawari - 2
Mianzin - 6
Stand Kuu - 12

Ukichomoka wote hawa katambike.

😁😁😁😁😁😁
Nani amekuambia Kinana amelalamika, waliolalamika ni wakazi wa mkoa wa Mbeya, yeye amepeleka ujumbe kunakohusika, pongezi kwa mama Samia.
 
...kama barabara inatumika na watu wengi au ipo ktk mazingira hatarishi ni sahihi tu kuwa na trafiki wengi

Aidha, kwa barabara hizi za mikoa ya mipakani kuna mambo mengi sana; trafik ni muhimu
 
Kuna wakati kiongozi Fulani alihoji ni kwa nini polisi wengi wanaomba wapangiwe traffic barabarani? Kuna nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Raisi Samia Alihoji hilo kuwa Askari wengi wakimaliza chuo polisi hutaka kupangiwa Traffic na bandarini!! Akasema sijui kwa nini

Ile hotuba IGP aliyekuwepo alitakiwa kuifanyia kazi lakini aliacha tu

Baadaye Raisi akasema kutakuwa na mabadiliko makubwa ikiwemo.jeshi la Polisi naona kaanza

Baada ya kumteua Wambura mchapa kazi kuwa IGP shughuli imeanza.Kero za Traffic zilizosumbua nchi Miaka nenda rudi kuanzia kipindi cha Nyerere na maraisi wote hadi Magufuli zikashindikana kupatiwa zinapatiwa ufumbuzi.Hongera Mama Samia,Hongera Kinana na Hongera IGP Wambura
 
Pana haja ya kufanya sensa ya polisi kujua wapo wangapi traffic, FFU, upelelezi nk. Kwa mtaji huu, yawezekana traffic ni unnecessarily wengi!

Police kama police yaani vitengo vyote nadhani hawazidi elfu 30
Ila kwa takwimu hizi inamaana kazi kubwa wamefanya barabarani
 
Kinachotakiwa ni kuweka msisitizo katika elimu ya usalama barabarani si kwa madereva tu bali hata kwa raia wa kawaida. Na ili hili swala la askari wa usalama barabarani waweze kupunguzwa hatuna budi kuhusiasha teknolojia ya tehama barabarani ambayo itakuwa imeungwanishwa moja kwa moja na mifumo ya tehama TRA na kitengo cha usalama barabarani mikoani.
 
Kwani hujui wanachezaga michezo 50 per day...[emoji3][emoji3][emoji3] Urefu wa kamba
 
Na hapo umewahesabu wale wanaokuwa nje bado wale wanaojificha kwenye magari wakivizia magari na tochi zao....ukikatiza USA mpaka Mianzini juu ya 50 hujamulikwa basi wewe ni mwamba πŸ’
 
kutoka geita katoro ni 40 kms lakini kuna point zaid ya 5 unakuta matrafick.
Zambia unaweza safiri 1000 kms bila kusimamishwa na traffic ila maafisa wa uhamiaji tu.
Tanzania ni moja ya nchi ngumu sana kwa wamiliki wa magari.
Ni ngumu haswaa kuanzia Bandarini hadi uraiani humuπŸ˜‚
 
kutoka geita katoro ni 40 kms lakini kuna point zaid ya 5 unakuta matrafick.
Zambia unaweza safiri 1000 kms bila kusimamishwa na traffic ila maafisa wa uhamiaji tu.
Tanzania ni moja ya nchi ngumu sana kwa wamiliki wa magari.
Kati barabara moja wapo ambayo nimeitumia Mara nyingi lakin Ina trafiki wachache Sana ni hii kutoka Songea, Tunduru, Msasai had Mnazi mmoja nafikil Zaid ya kilometers 500 trafiki hawazid sehem tatu ukitoa Hawa wa stand
 
Mh Kinana kakerwa na Trafiki huenda alipita hii njia kutokea Njiapanda hadi Arusha wanajipanga hivi.

Njiapanda - 4
Uchira - 4
Kawawa - 8
Mjohoroni - 2
Kiboriloni - 6
Changbay - 5
Kibosho - 4 na mmoja wakike mkalii
Mali Sita - 8
Machame - 4
Kwasadala - 11
Boma - 16
Kwa wasomali - 4
KIA - 4
King'ori - 2
Kikatiti - 6
Maji ya Chai - 12
USA - 16
Leganga - 4
Makumira - 4
Tengeru - 8
Kwa Mrefu - 8
Ngulelo - 4
Kimandolu - 4
Kwa Shabani - 6
Philips - 8
MountMeru - 2
Sanawari - 2
Mianzin - 6
Stand Kuu - 12

Ukichomoka wote hawa katambike.

😁😁😁😁😁😁

He kumbe
 
Back
Top Bottom