Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Askari kitambi kuliko baba ntilie
Marytina unajua tatizo liko wapi? Tatizo ni kuwa Kinana na wachangiaji karibu wote tuna-deal na ''dalili za ugonjwa'' badala ya ku-deal na ugonjwa wenyewe. Trust me. Trafiki polisi ni tatizo kubwa sana sikatai. Lakini hili ni tatizo linaloletwa na deep underlying problems za mfumo wetu mbovu wa uongozi na kutowajibika kwa viongozi wetu. Na siyo trafiki polisi tu, kila sekta na kila kona ya nchi yetu ina haya matatizo. Nilisikia jamaa mmoja anaelezea kisanga kilichotokea sehemu fulani ya Tanzani: Kijiji hakina maji, vijana wamejitolea kuchimba mtaro wa mabomba bure, wananchi wamechanga wakanunua mabomba, ikabakia kazi ya wahusika wa maji kwenda kuunganisha. Hawakwenda (bila sababu yoyote). Wananchi wakaenda kwa mkuu wa wilaya. Watu wa maji wakakasirika, wakawaambia wanakijiji ''si mnajifanya kushtaki, basi hatuwawekea huduma''. Mwaka umeisha na mpaka sasa wananchi hawana huduma. Na ukienda kila kona ya nchi kuna uozo mkubwa!Zifungwe speed camera hela iende serikalini tupunguze ifadi ya traffic njiani.
Trafiki police wamejigeuza mungu watu
Sio kazi yaoIla pia matrafic wanavyozidi ndo probability kubwa ya kunasa nyara
Bora wakakae standKwani Hao traffic wakiondolewa au kupunguzwa road kuna kazi gani nyingine wanaweza kufanya ukiondoa ile ya ukaguzi wa mabasi alfajiri wakati yanaondoka stand?
Arusha ni wengi hata sijui wanasimamia nini au ni kukosa kazi maana wanatamani waje hadi nyumbani mpaka bara bara za vichochoroni eti unawakuta...Hivi kuna sehemu Kuna matrafiki wengi barabarani kama Arusha?
Umesahau wale wanaozunguka na lile old skuli bovu li_Nissan Patrol jeusi, hao ndiyo huwa ni mantanange yaani wanapigaga za chembe hawaachi kitu aseee!.Mh Kinana kakerwa na Trafiki huenda alipita hii njia kutokea Njiapanda hadi Arusha wanajipanga hivi.
Njiapanda - 4
Uchira - 4
Kawawa - 8
Mjohoroni - 2
Kiboriloni - 6
Changbay - 5
Kibosho - 4 na mmoja wakike mkalii
Mali Sita - 8
Machame - 4
Kwasadala - 11
Boma - 16
Kwa wasomali - 4
KIA - 4
King'ori - 2
Kikatiti - 6
Maji ya Chai - 12
USA - 16
Leganga - 4
Makumira - 4
Tengeru - 8
Kwa Mrefu - 8
Ngulelo - 4
Kimandolu - 4
Kwa Shabani - 6
Philips - 8
MountMeru - 2
Sanawari - 2
Mianzin - 6
Stand Kuu - 12
Ukichomoka wote hawa katambike.
😁😁😁😁😁😁
Mwaka 2012 idadi ya police ilikuwa inavuka elfu 40.Police kama police yaani vitengo vyote nadhani hawazidi elfu 30
Ila kwa takwimu hizi inamaana kazi kubwa wamefanya barabarani
Mwaka 2012 idadi ya police ilikuwa inavuka elfu 40.Police kama police yaani vitengo vyote nadhani hawazidi elfu 30
Ila kwa takwimu hizi inamaana kazi kubwa wamefanya barabarani
Achana na mitaji ya watuCc: RPC Kilimanjaro
: RPC Arusha
Kile kikosi kwa rushwa ni balaa...Umesahau wale wanaozunguka na lile old skuli bovu li_Nissan Patrol jeusi, hao ndiyo huwa ni mantanange yaani wanapigaga za chembe hawaachi kitu aseee!.
Sasa wakikukuta na kosa ndo utatoa tea masala kabisa..kweli moshi arusha trafic kero sana yani kero mnooooo kila mahali halafu hataka kama huna kosa wanaomba hela ya chai[emoji23]
🤣Mh Kinana kakerwa na Trafiki huenda alipita hii njia kutokea Njiapanda hadi Arusha wanajipanga hivi.
Njiapanda - 4
Uchira - 4
Kawawa - 8
Mjohoroni - 2
Kiboriloni - 6
Changbay - 5
Kibosho - 4 na mmoja wakike mkalii
Mali Sita - 8
Machame - 4
Kwasadala - 11
Boma - 16
Kwa wasomali - 4
KIA - 4
King'ori - 2
Kikatiti - 6
Maji ya Chai - 12
USA - 16
Leganga - 4
Makumira - 4
Tengeru - 8
Kwa Mrefu - 8
Ngulelo - 4
Kimandolu - 4
Kwa Shabani - 6
Philips - 8
MountMeru - 2
Sanawari - 2
Mianzin - 6
Stand Kuu - 12
Ukichomoka wote hawa katambike.
😁😁😁😁😁😁
Sawa trafiki wa arushaVery risk Road ndio maana ina huu wingi wa Askari
Nafikiri ni kwasababu ya magendo.....uwekezaji kwenye teknolijia ungesaidia kuondoa huu uwingi wa traffic polisi na wengi wangeenda kwenye majukumu mengine.
Njia panda pale HIMO to ARUSHA to NAMANGA to BABATI kuna ugumu gani wakufunga road camera's kuangalia muenendo wa barabara na speed camera ambazo by automatic zinaregister faini kwenye system.
Ukifunga hizo cameras unaweka road patrol with 2 police kila 300km's, road patrol wanakuwa controlled na control room.
Hizi issue za speed na ujinga ujinga barabarani watu wanakutana na mafaini ya mamilioni ya hela, na mtu akiwa ticketed mara tatu per month tuna burn driving licence for 5yrs..
Mwaka 2012 idadi ya police ilikuwa inavuka elfu 40.
Kufikia leo ni zaidi ya hapo. Kwahiyo hiyo 30,000 upo wrong mkuu unless uniambie walipunguzwa na sio kuongezwa.
Ninachojua police huajiriwa kila mwaka kwahiyo obvious idadi lazima ipande.