Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Uko sahihi jamaa.ukitoka Katoro stand kuna traffic, ukienda mita 700 hivi kutoka stend (njia panda ya inyala) kuna matrafick,Chibingo kuna matrafick , njia panda ya Mgusu unakuta yupo mmoja ama wawili then unaingia geita mjini(mwembeni) hata mvua iwe inanyesha kubwa kiasi gani utawakuta wapo.