kibamia original
JF-Expert Member
- Jul 26, 2016
- 262
- 768
JF kila mtu hujidai ni msomi, amefanikiwa kimaisha, kama ni mwanaume ameoa pisi kali.Mh Kinana kakerwa na Trafiki huenda alipita hii njia kutokea Njiapanda hadi Arusha wanajipanga hivi.
Njiapanda - 4
Uchira - 4
Kawawa - 8
Mjohoroni - 2
Kiboriloni - 6
Changbay - 5
Kibosho - 4 na mmoja wakike mkalii
Mali Sita - 8
Machame - 4
Kwasadala - 11
Boma - 16
Kwa wasomali - 4
KIA - 4
King'ori - 2
Kikatiti - 6
Maji ya Chai - 12
USA - 16
Leganga - 4
Makumira - 4
Tengeru - 8
Kwa Mrefu - 8
Ngulelo - 4
Kimandolu - 4
Kwa Shabani - 6
Philips - 8
MountMeru - 2
Sanawari - 2
Mianzin - 6
Stand Kuu - 12
Ukichomoka wote hawa katambike.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa mara ya kwanza ndugu yetu huyu amejitambulisha kuwa yeye ni konda.