Tetesi: Yawezekana hiki ndio kilichopelekea Kinana alalamikie Traffic

JF kila mtu hujidai ni msomi, amefanikiwa kimaisha, kama ni mwanaume ameoa pisi kali.
Kwa mara ya kwanza ndugu yetu huyu amejitambulisha kuwa yeye ni konda.
 
Hili ndio pekee ccm inaliona ni usumbufu kwenye hii nchi? Tozo kila nyanja, ina tofauti gani na hao maaskari kila sehemu?
 
kutoka geita katoro ni 40 kms lakini kuna point zaid ya 5 unakuta matrafick.
Zambia unaweza safiri 1000 kms bila kusimamishwa na traffic ila maafisa wa uhamiaji tu.
Tanzania ni moja ya nchi ngumu sana kwa wamiliki wa magari.
Upo sahihi kabisa mkuu, ukitoka Nakonde labda Isoka na mara nyingi kwangu binafsi wanapeta tu,check points ya kwanza ni Chinsali (ipo ya jeshi na police ),then pale ni hadi Mpika (400kms from nakonde)hii ni ya pili then hadi serenje pale napo sio shida sana,then Mkushi check point (ya tatu),kutoka hapo hadi Kapiri Mposhi (hii nayo sio strictly sana),nakonde to Kapiri mposhi ni 800km na unakutana na check points 4 tu Dar to Moro ni 200kms kuna road blocks 🚫 zaidi ya 10!it's craze
 
...kama barabara inatumika na watu wengi au ipo ktk mazingira hatarishi ni sahihi tu kuwa na trafiki wengi

Aidha, kwa barabara hizi za mikoa ya mipakani kuna mambo mengi sana; trafik ni muhimu
Sio kweli mkuu,why usitembelee mwenyewe ukajionea,?,ni rushwa left /right
 
Polisi wawili Kila km300 we jamaaa ..... SI hatari sana hiii .. Kwa Askari na magari yenyewe!!??
 
Halafu hiyo ni distance isiyozidi 100km! Noma sana.
 
Umeruka shangarai mkuu , wanajazanaga pale
 
Jf kila mtu mjuaji yaani umenfunkunyua kinana mpk bc hahahahha atakuja humu na I'd yake fake kukutukana
 

Stendi kuu usa na boma mbona kama kituo kizima sasa
 
Acha tu, Moshi - Arusha wanatunyoosha, kila point wanalia njaa hivyo buku 2 au 5 inaweza ikakuhusu kwa baadhi ya hizo point!![emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…