Tetesi: Yawezekana hiki ndio kilichopelekea Kinana alalamikie Traffic

Zifungwe speed camera hela iende serikalini tupunguze ifadi ya traffic njiani.
Trafiki police wamejigeuza mungu watu
 
Zifungwe speed camera hela iende serikalini tupunguze ifadi ya traffic njiani.
Trafiki police wamejigeuza mungu watu
Marytina unajua tatizo liko wapi? Tatizo ni kuwa Kinana na wachangiaji karibu wote tuna-deal na ''dalili za ugonjwa'' badala ya ku-deal na ugonjwa wenyewe. Trust me. Trafiki polisi ni tatizo kubwa sana sikatai. Lakini hili ni tatizo linaloletwa na deep underlying problems za mfumo wetu mbovu wa uongozi na kutowajibika kwa viongozi wetu. Na siyo trafiki polisi tu, kila sekta na kila kona ya nchi yetu ina haya matatizo. Nilisikia jamaa mmoja anaelezea kisanga kilichotokea sehemu fulani ya Tanzani: Kijiji hakina maji, vijana wamejitolea kuchimba mtaro wa mabomba bure, wananchi wamechanga wakanunua mabomba, ikabakia kazi ya wahusika wa maji kwenda kuunganisha. Hawakwenda (bila sababu yoyote). Wananchi wakaenda kwa mkuu wa wilaya. Watu wa maji wakakasirika, wakawaambia wanakijiji ''si mnajifanya kushtaki, basi hatuwawekea huduma''. Mwaka umeisha na mpaka sasa wananchi hawana huduma. Na ukienda kila kona ya nchi kuna uozo mkubwa!
 
Usicheze na siasa za bongo apo anacheza na akiki za watu tuu. sisiem ni wale wale Oooo ni wale waleeeee
Sisiem ni wlewale Ooooh ni wale waleeeee
 
Kuna vitu vinahitaji utatuzi kwa wananchi wote tukianza na vijana wahitimu wa vyuo ambao ni majobless na ukosefu wa mitaji na wengi wao wapo mijini na vijijini ni changamoto kwao na familia zao sasa tunakuja na changamoto ya watu wachache ambao wana vipato vizuri mpaka wanamiliki magari na wengi wao wanaishi mijini ambao suruhu ni wahusika kuweka mpango kazi wao vizuri basi haiitaji hata shilingi moja wala haiitaji hata bunge kukaa kikao tafauti na tatizo la uchumi wa mtu mmoja mmoja hasa kwa vijana.
 
Umesahau wale wanaozunguka na lile old skuli bovu li_Nissan Patrol jeusi, hao ndiyo huwa ni mantanange yaani wanapigaga za chembe hawaachi kitu aseee!.
 
Police kama police yaani vitengo vyote nadhani hawazidi elfu 30
Ila kwa takwimu hizi inamaana kazi kubwa wamefanya barabarani
Mwaka 2012 idadi ya police ilikuwa inavuka elfu 40.

Kufikia leo ni zaidi ya hapo. Kwahiyo hiyo 30,000 upo wrong mkuu unless uniambie walipunguzwa na sio kuongezwa.

Ninachojua police huajiriwa kila mwaka kwahiyo obvious idadi lazima ipande.
 
Arusha wananichekesha unakuta trafiki wao wamepaki mkweche kabisa ila wanakusimamisha wewe wakukague au waombe hela ya chai kama haki yao vile yaani wao wanaona ni haki kupewa pesa kwa sababu wao ndio wakuu wa bara bara huwa inakera sana...
 
🀣
 
Nafikiri ni kwasababu ya magendo.....

Usiniulize ya aina gani....

Am Done
 
Mwaka 2012 idadi ya police ilikuwa inavuka elfu 40.

Kufikia leo ni zaidi ya hapo. Kwahiyo hiyo 30,000 upo wrong mkuu unless uniambie walipunguzwa na sio kuongezwa.

Ninachojua police huajiriwa kila mwaka kwahiyo obvious idadi lazima ipande.

Labda hiyo elf 40 ilikua Jeshi la police, magereza na zimamoto
Ila kama unaongelea jeshi la police 2012 sodhani kama walikua zaidi ya elfu20
 
Ninyi wenye magari mtatupa mrejesho kama kuna mabadiliko.Mimi natumia ungo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…