mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Hyo ndy sababu kuu iliyofanya Amini akimbizwe Uganda.Upo sahihi kabisa mkuu kuna clip moja niliiona maelezo yako yanafanana na ile ya kwenye video.
Amin alikuwa na mpango wa kujenga chuo kikuu cha kiislam kikubwa Africa nzima.
Kwa msaada wa Gadafi.
Hilo Jambo lilipingwa kwa nguvu zote na viongozi wa east Africa wakiongozwa na Nyerere na Kenyatta..
Amin bila kukimbizwa Uganda ingekuwa inchi ya kiislam Leo..
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app