Hyo ndy sababu kuu iliyofanya Amini akimbizwe Uganda.
Amin alikuwa na mpango wa kujenga chuo kikuu cha kiislam kikubwa Africa nzima.
Kwa msaada wa Gadafi.
Hilo Jambo lilipingwa kwa nguvu zote na viongozi wa east Africa wakiongozwa na Nyerere na Kenyatta..
Amin bila kukimbizwa Uganda ingekuwa inchi ya kiislam Leo..
Sent from my M2101K7BG using
JamiiForums mobile app