Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Mtu huwa akikaribia kufa anakuwa mbishi sana
Usiende mjini kijana wewe bado pikipiki hujaijua utaishia kugonga mtu au ukagonga au kuchubua gari ya watu ulipe .
Fanya training kwanza mtaani kwenu
Usiende mjini kijana wewe bado pikipiki hujaijua utaishia kugonga mtu au ukagonga au kuchubua gari ya watu ulipe .
Fanya training kwanza mtaani kwenu