niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,679
- 5,496
Kujua kuendesha pikipiki ni pamoja na kuzijua Sheria na taratibu za usalama barabarani. Kuwa makini sehemu za makutano ya barabara. Usiwe na haraka.
Nimeamua kujiongeza baada ya tabu ya usafiri Mbezi to Gerezani nimeamua kumvua mtu chuma sasa changamoto ni kubalance moto na gear ndio inanipa shida kesho nataka asubuhi niende eneo la wazi ili nipate experience ili jtatu nitinge nayo kwenye harakati zangu inawezekana au ndio safari ya kwenda MOI imewadia.
Mkuu, Quad bike ina matairi 4, balance yake ni tofauti na pikipiki ya tairi 2.Pikipiki sidhani kama ina utofauti sana na quad bike.. quad bike mchawi kucontrol mafuta na brake. .. 😃 hata masaa yanatosha kuingia lami mwaya.
Ajali wameumbiwa madereva.. ikifika imefika.
MKuu kuna kozi veta kule kasome.Nimeamua kujiongeza baada ya tabu ya usafiri Mbezi to Gerezani nimeamua kumvua mtu chuma sasa changamoto ni kubalance moto na gear ndio inanipa shida kesho nataka asubuhi niende eneo la wazi ili nipate experience ili jtatu nitinge nayo kwenye harakati zangu inawezekana au ndio safari ya kwenda MOI imewadia.
Mkuu, umewahi kuingia K/koo kwa pikipiki?Kiaje?
Hapana 😆Mkuu, umewahi kuingia K/koo kwa pikipiki?
Last week nimeingia road na pikipiki wenge nililolipata, najiandaa kwenda darasani. Hivyo nafatilia kwa umakini mkubwa
😂😂 Acha hizo brotherNi ngumu sana kumshauri mtu anaekaribia kufa
Nimecheka hapo uliposema baadae atajaribu mtu,wewe uko tayari kuwa mtu wa majiribio kwa ndugu mleta mada anayetaka kujiua?Siku 5? Wewe unataka kumuua? Hapana hata week 2 atembee mtaani tu kwanza na aanze kupakia mzigo then baadae atajaribu mtu ndio aingie mjini
Taratibu zipi??Sisi wengine ni wazoefu wa pikipiki kwa miaka kadhaa lakini linapokuja suala la kariakoo tunawaza mara mbilimbili.
Pikipiki sio kubalance clutch, kuvuta mafuta na break tu bali ina taratibu zake
Hapana siweziNimecheka hapo uliposema baadae atajaribu mtu,wewe uko tayari kuwa mtu wa majiribio kwa ndugu mleta mada anayetaka kujiua?