Yawezekana kujifunza pikipiki siku moja ya kesho ili Jumatatu nianze nayo harakati Kariakoo?

Yawezekana kujifunza pikipiki siku moja ya kesho ili Jumatatu nianze nayo harakati Kariakoo?

Jipe muda ujifunze na uweze kuicontrol vizuri pikipiki yako. Kwa foleni za Dar inabidi uwe mwepesi kucheza na clutch na gear shifting.

Kwa matumizi binafsi ungeanza na pikipiki automatic jamii ya Honda Click
Acha kumtia woga
byke sio ngumu kiivyo ingekua ndo anataka kujifunza kurusha ndege si ungemwambia oyaa ushakufa jamaa angu.
 
Jipe muda ujifunze na uweze kuicontrol vizuri pikipiki yako. Kwa foleni za Dar inabidi uwe mwepesi kucheza na clutch na gear shifting.

Kwa matumizi binafsi ungeanza na pikipiki automatic jamii ya Honda Click
Sawa mkuu acha niendelee kubanana kwenye mwendokas kama mwezi hivi niendelee kujinoa mtaani..
 
Kuna mstari mwembamba sana Kati ya uzima na umauti hapo...usiujaribu uzima...usiingie kwenye msongamano wa vyombo vya moto au kwenye msongamano wa watu usiende...kama Bado hujakimudu chombo chako. Chonde chonde, lambi lambi tunatoaga 500 au buku alafu tunawafukia watu...kuwa makini
 
Pikipiki sidhani kama ina utofauti sana na quad bike.. quad bike mchawi kucontrol mafuta na brake. .. 😃 hata masaa yanatosha kuingia lami mwaya.
Ajali wameumbiwa madereva.. ikifika imefika.
Watu wa arusha bhana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom