Yawezekana kujifunza pikipiki siku moja ya kesho ili Jumatatu nianze nayo harakati Kariakoo?

Yawezekana kujifunza pikipiki siku moja ya kesho ili Jumatatu nianze nayo harakati Kariakoo?

Haiwezekani Mkuu. Hapo unahitaji walau wiki mbili hivi. Ungekuwa mdogo ingewezekana ndani ya muda mfupi zaidi ila sasa wewe tayari mtu mzima unao uwezo wa kuzitafakari hatari zaidi na hapo ndipo mtihanibwako ulipo (uoga ndio mtihani wako).

Jipe muda jifunze mtaani kwenye magari uondoe wenge la mivumo kwanza
 
Nimeamua kujiongeza baada ya tabu ya usafiri Mbezi to Gerezani nimeamua kumvua mtu chuma sasa changamoto ni kubalance moto na gear ndio inanipa shida kesho nataka asubuhi niende eneo la wazi ili nipate experience ili jtatu nitinge nayo kwenye harakati zangu inawezekana au ndio safari ya kwenda MOI imewadia.
Jifunze na njia za kuwa ombaomba kama back up inces umevunjika mguu
 
😂😂😂😂😂
Nimechela sana sana san.

Anyway vaa hlement kaka, vaa na kila kifaa cha kukukinga.
Otherwise subiri walau uizoo kwa mwezi mzima wa kula nayo misele mtaani.
 
We nenda nayo town ingekua gari ningekutaza maana kikiwaka mpaka ufungue mlango uruke ni process ndefu ila hiyo ukiona jahazi linazama unaitanguliza mbele we unatua na miguu yako miwili unaendelea na harakati zako tena kama imeenda kuvamia machinga huko huifati usije lala sentro unaenda kuvua nyingine kwa mtu
 
Watu wa daslamu mnajikuta sana🤣
Mkuu hili wala si utani! Nikiwa Dodoma wakati flani nilikuwa natumia gari Kwa muda mrefu tu, siku moja nimechukua gari ya jamaa yangu wa dar kutokea mitaa ya mabibo naelekea pale ubungo plaza, enzi hizo bado hakuna fly over...nilivyofika ubungo mataa pale nilipata wenge la hatari nikajikuta nimeunga moja Kwa moja na kupaki pale mlimani city huku jasho likinitoka pamoja na gari kuwa na AC kali..
 
Mkuu hili wala si utani! Nikiwa Dodoma wakati flani nilikuwa natumia gari Kwa muda mrefu tu, siku moja nimechukua gari ya jamaa yangu wa dar kutokea mitaa ya mabibo naelekea pale ubungo plaza, enzi hizo bado hakuna fly over...nilivyofika ubungo mataa pale nilipata wenge nikajikuta nimepaki mlimani city pale huku jasho likinitoka pamoja na gari kuwa na AC kali..
Kiofu kili kuingia mkuu naelewa iyo situation
 
Nimeamua kujiongeza baada ya tabu ya usafiri Mbezi to Gerezani nimeamua kumvua mtu chuma sasa changamoto ni kubalance moto na gear ndio inanipa shida kesho nataka asubuhi niende eneo la wazi ili nipate experience ili jtatu nitinge nayo kwenye harakati zangu inawezekana au ndio safari ya kwenda MOI imewadia.
Sijawahi fundishwa hiyo kitu wala gari?!
 
Mkuu hili wala si utani! Nikiwa Dodoma wakati flani nilikuwa natumia gari Kwa muda mrefu tu, siku moja nimechukua gari ya jamaa yangu wa dar kutokea mitaa ya mabibo naelekea pale ubungo plaza, enzi hizo bado hakuna fly over...nilivyofika ubungo mataa pale nilipata wenge nikajikuta nimepaki mlimani city pale huku jasho likinitoka pamoja na gari kuwa na AC kali..
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom