Yawezekana kujifunza pikipiki siku moja ya kesho ili Jumatatu nianze nayo harakati Kariakoo?

Yawezekana kujifunza pikipiki siku moja ya kesho ili Jumatatu nianze nayo harakati Kariakoo?

pikipiki inahitaji muda kaka,,mimi mpka nafikia hapa najua kuendesha vizuri mno ,,lakini kwa dar duhhh zile foleni,ku over take,,mara uingie barabara ya mwendokasi inahitaji ujuzi mkubwa zaidi na kutokuwa mwoga
 
Umenikumbusha nilivonunua siku hiyo hiyo nikafundishwa nikaanza kuendesha same day.

Nilikuwaga nalazimisha kupanda mlima kwa gear namba tatu, nne au tano bila mwenyewe kujua. Matokeo yake pikipiki unazima katikati ya mlima naanguka.

Tafta maarifa kwanza kabla ya kuanza kuendesha.
 
Nimeamua kujiongeza baada ya tabu ya usafiri Mbezi to Gerezani nimeamua kumvua mtu chuma sasa changamoto ni kubalance moto na gear ndio inanipa shida kesho nataka asubuhi niende eneo la wazi ili nipate experience ili jtatu nitinge nayo kwenye harakati zangu inawezekana au ndio safari ya kwenda MOI imewadia.
Unaweza
 
Inawezekana iwapo ukavua miguu ya nyama na mifupa na kuvaa miguu ya chuma na fuvu la chuma!
 
Back
Top Bottom