Yawezekana kujifunza pikipiki siku moja ya kesho ili Jumatatu nianze nayo harakati Kariakoo?

Mkuu kama kichwa chepesi na una confidence ya kutosha unaweza ukaimaster for 3hours!!
Japo kuweza kumaster skills zote vizuri ni atleast ucheze nayo for one week.

Usiseme unaenda kujifunza sababu umeshajifunza tayari ila sema unaenda kumaster skills kama U-turn na Changedown.
 
Dah nilikua na shauku sana na Chuma nikapata Piki piki loh within 65 days nikauza maana niliona ulemavu unaninyemelea jinsi nilivyokua nina koswa koswa japo sikua rafu hapo nikaona inatosha. Kuna jamaa akanivua chuma safi kabisa.

Mkuu uwe makini sana na bike haitaki mzaha.
 
Nimeamua kujiongeza baada ya tabu ya usafiri Mbezi to Gerezani nimeamua kumvua mtu chuma sasa changamoto ni kubalance moto na gear ndio inanipa shida kesho nataka asubuhi niende eneo la wazi ili nipate experience ili jtatu nitinge nayo kwenye harakati zangu inawezekana au ndio safari ya kwenda MOI imewadia.
si bora iwe moi,hiyo yawezekana unaanzisha safari ya kuelekea migombani na costa ukiwa ndani ya jeneza.jamaa zako pamoja na mkeo watakunywa pombe na kulewa pale korogwe ukiwa umeachwa peke yako ndani ya coast kwenye sanduku.

Hiyo ni chombo ya moto,unahitaji kujifunza mpaka uwive.tena safari zenyewe za gerezani kariakoo
 
Dah nilikua na shauku sana na Chuma nikapata Piki piki loh within 65 days nikauza maana niliona ulemavu unaninyemelea jinsi nilivyokua nina koswa koswa japo sikua rafu hapo nikaona inatosha. Kuna jamaa akanivua chuma safi kabisa.

Mkuu uwe makini sana na bike haitaki mzaha.
Muhimu iyo
 
Nimeamua kujiongeza baada ya tabu ya usafiri Mbezi to Gerezani nimeamua kumvua mtu chuma sasa changamoto ni kubalance moto na gear ndio inanipa shida kesho nataka asubuhi niende eneo la wazi ili nipate experience ili jtatu nitinge nayo kwenye harakati zangu inawezekana au ndio safari ya kwenda MOI imewadia.
Kaa ukijua boda ni umeme grade ya juu kabsa.
 
Nimeamua kujiongeza baada ya tabu ya usafiri Mbezi to Gerezani nimeamua kumvua mtu chuma sasa changamoto ni kubalance moto na gear ndio inanipa shida kesho nataka asubuhi niende eneo la wazi ili nipate experience ili jtatu nitinge nayo kwenye harakati zangu inawezekana au ndio safari ya kwenda MOI imewadia.
Mkuu umenunua kifo au kilema cha kudumu
 
Nimeamua kujiongeza baada ya tabu ya usafiri Mbezi to Gerezani nimeamua kumvua mtu chuma sasa changamoto ni kubalance moto na gear ndio inanipa shida kesho nataka asubuhi niende eneo la wazi ili nipate experience ili jtatu nitinge nayo kwenye harakati zangu inawezekana au ndio safari ya kwenda MOI imewadia.
Usilogwe, na ukilogwa hakikisha unavaa helmet mda wote. Mimi nina hushuhuda Arusha hiyo
 
Nimeamua kujiongeza baada ya tabu ya usafiri Mbezi to Gerezani nimeamua kumvua mtu chuma sasa changamoto ni kubalance moto na gear ndio inanipa shida kesho nataka asubuhi niende eneo la wazi ili nipate experience ili jtatu nitinge nayo kwenye harakati zangu inawezekana au ndio safari ya kwenda MOI imewadia.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom