Wajaribu kuishambulia hali ya kuwa Israel ndiye huwa ana kiherere cha kuichokoza Iran..Endeleeni tu kuwaramba Makalio Iran lakini kipondo wanacholipata kutoka Majeshi ya Marekani wanakipata vizuri sana.
Iran hawezi kutambua mbele ya Israel ni suala la muda tu!! Iran yeye Ana wanyonge wake waarabu lakini hana ubavu wa kufanya chochote kwa Israel!! Mwamba Netanyahu keshatoa ONYO kwa Magaidi wa Iran kuwa safari hii wakijaribu kuishambulia wanajua kwa nini kuku hakojoi!!!
Anajizima data huyuWajaribu kuishambulia hali ya kuwa Israel ndiye huwa ana kiherere cha kuichokoza Iran..
Hezbollah wamemshinda ataiweza Iran..
Acha ujinga Magaidi wa Hezbollah na Hamas wanapigika kila siku na Iran alishasema wa hum a wake Israel ikiendelea kuwa once basi Iran itaweza kuishambulia Israel lakini mpaka Leo Magaidi hao wanapigwa na Israel na Iran kaufyata mkia wake na kuwaachia magaidi hao wakiuwawa Kama nzige!!Wajaribu kuishambulia hali ya kuwa Israel ndiye huwa ana kiherere cha kuichokoza Iran..
Hezbollah wamemshinda ataiweza Iran..
Daaah 😁😁😁😁 sijakuelewa, maana Israel imechukua sehemu ya lebanon na hizzibullah wapo,Wajaribu kuishambulia hali ya kuwa Israel ndiye huwa ana kiherere cha kuichokoza Iran..
Hezbollah wamemshinda ataiweza Iran..
Uzuri mamlaka zinawatambua. Ngoja tuone nini kinafuata.Iran sio nchi moja kama inavosemwa nje ya nchi,
Iran kuna Wapersia, Waarabu, Kurds, na makundi mengine hayo ndio madhaifu yao
Kwa hiyo!!!!Huwa ninavichukia sana vita kwa sababu vinasabanisha bifo vya wati wengi na pia uharibifu mkubwa wa mali, miundombinu, nk.
Unatafuta varangati na mimi bila shaka. Kwa hiyo nini?Kwa hiyo!!!!
Unaripoti kutoka madrassa ipi shehe wangu? Leo hakuna hitima pande hizo?Hio vita US hatoiweza..
Iran kajipanga vilivyo na hii vita..
US na Israel wamezidiwa mbinu za kivita na Iran..
Iran sio arabs. Hio ni specie nyingine.
Unajifanya Mwema kumbe mtetezi wa Magaidi hasa wanapopigwa unajidai una utu sana kumbe Hovyo kabisa!!Unatafuta varangati na mimi bila shaka. Kwa hiyo nini?
Endelea tu kuwaramba makalio magaidi wa Iran Waambie basi wafu she mapipa yao Israel waone kilichowafanya waislamu wasile Nguruwe!!!!Dunia ilifahamu Iran kikomo chake kwenye missile ni 2000KM.
March mwaka huu walituma missile 4000KM hadi Diego Garcia..
Walitumia space launch vehicle technology, hii ina maana Iran sasa wanaweza convert tech ya kurusha satellite na kuitumia kurusha kombora hivyo wakitaka hata kombora lifike Canada linafika na kuipita US..
Iran ilitumia two stage propulsion, injini ya kwanza ilibeba kombora hadi juu kabisa nje ya ozone, halafu ile injini ikajiachia ikajiwasha nyingine na kuendelea hadi mzigo ukafika kilomita 4000.
Halafu kuna mtu anasema kawaida kabisa Iran ya itapigwa kirahisj...
Nawapa pole sana...
Vita ya Iran haiwezi sababisha vita ya tatu ya Dunia.
Marekani anachofanya sasa hivi anarudisha nyuma Iran kutoka kwenye fukwe, anachochea ni kuifanya Iran ishindwe kuuza wala kunafika na mafuta yake, ikishakuwa hivi Iran haitakuwa na uwezo wa kuendesha vita kwa muda mrefu.
Kingine Israel na Marekani hadi sasa wamefocus na IRGC na kuliacha Jeshi la Taifa la Iran, kisiasa wanatengeneza fursa kwa jeshi la Iran kuweza kuwa na nguvu sawa na IRGC, hii inaweza kuwa kama case ya Sudan nchi moja ina majeshi mawili ambayo yana mtazamo/Ideology tofauti.
Iran tayari iko kwenye mtikisiko wa uchumi, kuharibiwa kwa bandari, madaraja na vituo vya umeme vinachochea hali ya uchumi kuendelea kudorora, kwa wananchi Uchumi kwanza ubabe wako wa kivita baadaye, hapa Marekani na Israel wanachochea Wairan watoke barabarani.
Kingine Israel na Marekani katika mashambulizi yao mawekuawa wakishambulia vituo vya polisi, ofisi na uwezo wa nchi kusimamia usalama wa ndani, yakitokea maandamano mengine Israel na Marekani wakijaza Silaha na moto kwa waandamanaji, nchi inakuwa Somalia au Syria
POROJOVita ya Iran haiwezi sababisha vita ya tatu ya Dunia.

Mimi siwatetei magaidi. Ninachofanya ni kutetea haki!Unajifanya Mwema kumbe mtetezi wa Magaidi hasa wanapopigwa unajidai una utu sana kumbe Hovyo kabisa!!
Israel kila siku wanalipuliwa na drones za Hezbollah..Acha ujinga Magaidi wa Hezbollah na Hamas wanapigika kila siku na Iran alishasema wa hum a wake Israel ikiendelea kuwa once basi Iran itaweza kuishambulia Israel lakini mpaka Leo Magaidi hao wanapigwa na Israel na Iran kaufyata mkia wake na kuwaachia magaidi hao wakiuwawa Kama nzige!!
Ujinga mtupu unakusumbua wewe unatetea Haki gani? Umeshindwa kuwatetea Watanzania wenzako wananyanyaswa na utitiri wa Jodi na waafrika wenzako huko Congo na Sudan Leo hii unakuja kuwatetea Magaidi waarabu au kwa sababu walikuletea dini? Mihemko ya UDINI inakutafuna wewe!!Mimi siwatetei magaidi. Ninachofanya ni kutetea haki!
Acha mambo ya kukaririshwa hao unaowaita wapalestina warmedhurumiwa haki zao ipi? Israel imewafanyia nini? Umepandikiziwa chuki zisizo na maana na wewe kwa ujinga wako umezifakamia na ndiyo maana kila Mara unajilizaliza tu humu!!Ukimuonea sana mtu kwa sababu ya unyonge wake, ukimtesa pasipo sababu za msingi, ukimnyanyasa bila ya sababu, ukimdhulumu haki zake za msingi, nk. Huyo mtu siku akipata nafasi ya kukudhuru hatajiuliza mara mbili. Ndicho wanachofanyiwa Wapalestina kila siku na Waisrael.
Hamas ni Magaidi kwa ujinga ulionao hata hujui waliyoyafanya Oct 07,2023 harafu unajifanya unatetea haki!!Hamasi isingekuwepo kama Waisraeli wasingeendelea na kampeni yao ya kuwaua, kuwatesa, kuwafunga, na kuwanyang'anya Wapalestina ardhi yao kila uchao.