Yawezekana mzozo wa Middle East ukawa mkubwa na kuanzisha WW3?

Yawezekana mzozo wa Middle East ukawa mkubwa na kuanzisha WW3?

Palestina haijanyang'anywa ardhi yao, ishu ilikuwa ni kipindi cha ukoloni kabla ya wayahudi kwenda kuna mabadiliko yalifanywa na waingereza kuhusu umiliki wa ardhi ambapo kila mmoja alipaswa kujisajili kwenye ardhi, ila wengi wa wapelestina hawakufanya ivo maana hawakuwa wakijua umuhimu wake ama hawakuwa na elimu iyo kwa kipindi icho.

Ivyo badae wayahudi wakauziwa(wakanunua eneo zile kutoka kwa Muingereza), ndo ikawa mwanzo wa migogoro yao,

wapalestina wakilaumu Wayahudi kwa kuibiwa ardhi yao na wayahudi wanatetea haki zao maana wanamiliki ardhi kisheria kutoka kuinunua kwa muingereza. Nitatafuta source ya hii comment uko Reddit kutoka kwa natives ukasome zaidi.
 
Huwezi amini baada ya hii vita Israel na Iran zitakuwa marafiki, hadi sasa Iran hataki kabisa kuishambulia Israel
 
Wewe ndio mjinga Kwa sababu wenye akili wote wanajua sababu ya hi vita kuwa sio ugaid

Marekani anataka kupora rasilimali kama Gasi, mafuta na uranium za Irani kama vile alivyo pora Kuweit, Iraqi. Libya na Venezuela

Israel anataka yeye ndio awe mbabe pale middle east Ili aendelee kuwagawanya kuwa anawalinda na kuwauzia siraha

Ila kilaza kama zumbukuku ulimwengu upo huku ndio mkikaa mazumbukuku watupu mnadanganyana

Ili uamini kama wewe ni kilaza tafuta proposal za Marekani walizoenda nazo Pakistan katika kumaliza vita kama Kuna kipengere pale Cha Ugadi?

Sikia wewe mjinga katika hiyo proposal hakuna kipengere chochote kuwa
Marekani nataka kuwakomboa wananchi wa Irani dhidi ya utawala mbovu Wala hakuna kipengere Cha kuwa Irani ni magaidi
Umeelezea vita kwa mrengo wa siasa na kipropaganda ila vita ya israel na waarabu hawa ni survival ( ambapo israel anafanyanya any means kusurvive ikibidi ata kueliminate maadui zake ambao wamemzunguka kila sehemu). Hii ndo natives wengi wanasema ivo ukiingia kweny sub zao (reddit).
 
Back
Top Bottom