Yawezekana mzozo wa Middle East ukawa mkubwa na kuanzisha WW3?

Yawezekana mzozo wa Middle East ukawa mkubwa na kuanzisha WW3?

Endelea tu kuwaramba makalio magaidi wa Iran Waambie basi wafu she mapipa yao Israel waone kilichowafanya waislamu wasile Nguruwe!!!!
Huwezi kusema missile advanced na yenye accuracy ya kutisha ukaita pipa..
Kile ni chuma ndio maana kinaweza kuhimili friction kati ya hewa mpaka inawaka moto na haiharibiki.. inatumia tech ya hypersonic glide vehicle.. ni silaha inayowanyima usingizi Israel na US..

Hio ni machine, tena ni machine yenye advanced tech ya kutisha ambapo hata US hawana. Uzuri unafahamu US hawana hypersonic.
 
Israel kila siku wanalipuliwa na drones za Hezbollah..

Israel imeshindwa kabisa kutumia teknolojia zake anazojisifu za kulinda anga..

Zile drones zinapenya kama nyoka anaingia pangoni..

Hizo drones zinaruka low altitude, zina very small radar cross sectional area, injini zake zinatoa joto dogo/low infrared signature kitu hivyo air defenses na radar za Israel hazioni hata joto la hizo drones..

Na kibaya zaidi zinakwenda kwa very slow speed.. hii Hezbollah wanafanya makusudi kwa sabau.
Drones hizo zinaonekana kama ndege wanaoruka angani, hivyo air defenses zina ignore.
Drone ikishaonekana ina cross sectional ndogo kama ndege anayeruka kinachobaki kutofautisha huwa ni speed, sasa hata kwenye speed hizo drones zinatembea speed ya ndege arukaye hewani..

Ndio maana zimeshindikana kabisa kuzuilika na zimeua sana askari wa Israel.. wanafahamu too late na kuanza kuzilenga kwa risasi...

Mbinu wanayotumia sasa Israel ni kutumia neti/nyavu za chuma kuzuia hizo drones 🤣, wazee wa tech wameamua kutumia mbinu ya kienyeji... hii hata jwtz wangeweza kuitumia...

Ndipo ujue Israel inapambana na watu wa aina gani..

Lakini ulivyo mpuuzi unasema kirahisi tu, Hezbollah wanapigwa..

Nikuambie tu askari 1000 wa Israel hawana uwezo wa kukabiliana na askari 200 pekee wa Hezbollah..

Ukifahamu ukweli wa kinachoendelea kwenye uwanja wa kivita utaidharau sana Israel...
Endelea tu kujifariji na kuwadanganya Wafuga Midevu na Majini wenzako wakati majeshi hodari ya Israel yakiweka security zones ndani ya Lebanon na Hezbollah wakibondwa Kama kawaida na mizoga yao kuzikwa mchana kweupe
 
Attachments

  • IMG_5553.jpeg
    IMG_5553.jpeg
    365.7 KB · Views: 8
  • IMG_5552.jpeg
    IMG_5552.jpeg
    151.9 KB · Views: 7
Endelea tu kujifariji na kuwadanganya Wafuga Midevu na Majini wenzako wakati majeshi hodari ya Israel yakiweka security zones ndani ya Lebanon na Hezbollah wakibondwa Kama kawaida!!!
Huna hoja kijana..
Israel hawana huo uwezo..
Walitaka kuanza upuuzi wao wa kuilenga Lebanon kama Gaza ulisikia Iran ilivyo karipia..
Maana wao ni wazuri wa kutumia ndege hizo za misaada kutoka US kupiga zigzag.. vita ya mipango na akili ni 0.
 
Kuna kipindi Russia ilionya kitendo cha kuwapa Ukraine silaha za masafa marefu na data za intelijensia waweze kupiga eneo la mbali ndani ya Russia.
Ikaonya juu ya tukio la Ukraine kushambulia ndege muhimu ya kimkakati wa nukilia ( strategic nuclear defense system ) iliyo kuwa ndani kabisa ya Russia mbali na war front line.

Hiki kinachotokea sasa kwa Marekani na Iran ndicho kisasi alicho ahidi Putin. Playbook Iran kalipua ndege za ulinzi za surveillance hewani zilizo kuwa zimepaki mbali.
Iran kalipua mifumo ya radar na Patriots muhimu. Jiulize teknolojia ile wametoa wapi na satellites za precision kubwa hivyo wametoa wapi Kama siyo China na Russia wanawapa hivyo vitu?
Watu walidhani Russia atalipa kisasi kwa kushambulia nchi ya NATO moja kwa moja. Vita ni akili.
Soon or later ukiona turkey ameingizwa kwenye hii vita hapo anatafutwa russia,kitu ambacho hata siku moja russia hawezi kukubali
 
Vita ya Iran haiwezi sababisha vita ya tatu ya Dunia.

Marekani anachofanya sasa hivi anarudisha nyuma Iran kutoka kwenye fukwe, anachochea ni kuifanya Iran ishindwe kuuza wala kunafika na mafuta yake, ikishakuwa hivi Iran haitakuwa na uwezo wa kuendesha vita kwa muda mrefu.

Kingine Israel na Marekani hadi sasa wamefocus na IRGC na kuliacha Jeshi la Taifa la Iran, kisiasa wanatengeneza fursa kwa jeshi la Iran kuweza kuwa na nguvu sawa na IRGC, hii inaweza kuwa kama case ya Sudan nchi moja ina majeshi mawili ambayo yana mtazamo/Ideology tofauti.

Iran tayari iko kwenye mtikisiko wa uchumi, kuharibiwa kwa bandari, madaraja na vituo vya umeme vinachochea hali ya uchumi kuendelea kudorora, kwa wananchi Uchumi kwanza ubabe wako wa kivita baadaye, hapa Marekani na Israel wanachochea Wairan watoke barabarani.

Kingine Israel na Marekani katika mashambulizi yao mawekuawa wakishambulia vituo vya polisi, ofisi na uwezo wa nchi kusimamia usalama wa ndani, yakitokea maandamano mengine Israel na Marekani wakijaza Silaha na moto kwa waandamanaji, nchi inakuwa Somalia au Syria
Swali ni je, US ataweza kustahili madhambulizi ya Iran mpaka kufanikisha hayo yote. Maana wakati US anakuja na mbinu hiyo ya kumsogeza Iran mbali na fukwe, kumbuka Iran pia anaharibu vibaya sana assets za US ukanda mzima
 
USA Uchumi wake ni zaidi ya trillioni 30, yeye ndio ana print dollar.

Marekani kwenye hiyo vita anashambulia kistaarabu sana, yaani hajafanya mobilization yoyote ya maana.

Vita ya Ukraine iko hadi leo kwa sababu USA anatoa pesa
 
Israel kila siku wanalipuliwa na drones za Hezbollah..

Israel imeshindwa kabisa kutumia teknolojia zake anazojisifu za kulinda anga..

Zile drones zinapenya kama nyoka anaingia pangoni..

Hizo drones zinaruka low altitude, zina very small radar cross sectional area, injini zake zinatoa joto dogo/low infrared signature kitu hivyo air defenses na radar za Israel hazioni hata joto la hizo drones..

Na kibaya zaidi zinakwenda kwa very slow speed.. hii Hezbollah wanafanya makusudi kwa sabau.
Drones hizo zinaonekana kama ndege wanaoruka angani, hivyo air defenses zina ignore.
Drone ikishaonekana ina cross sectional ndogo kama ndege anayeruka kinachobaki kutofautisha huwa ni speed, sasa hata kwenye speed hizo drones zinatembea speed ya ndege arukaye hewani..

Ndio maana zimeshindikana kabisa kuzuilika na zimeua sana askari wa Israel.. wanafahamu too late na kuanza kuzilenga kwa risasi...

Mbinu wanayotumia sasa Israel ni kutumia neti/nyavu za chuma kuzuia hizo drones 🤣, wazee wa tech wameamua kutumia mbinu ya kienyeji... hii hata jwtz wangeweza kuitumia...

Ndipo ujue Israel inapambana na watu wa aina gani..

Lakini ulivyo mpuuzi unasema kirahisi tu, Hezbollah wanapigwa..

Nikuambie tu askari 1000 wa Israel hawana uwezo wa kukabiliana na askari 200 pekee wa Hezbollah..

Ukifahamu ukweli wa kinachoendelea kwenye uwanja wa kivita utaidharau sana Israel...
Wewe uko kwenye uwanja wa vita...?? Na kipi kinakufanya useme askari 1000 wa israel hawawezi kuwakabili askari 200 wa iran??
 
Ninaona kila dalili kukaja na matumizi ya siraha za maangamizi hasa ya kuhofia China na North Korea na Urusi wanamsaidia Iran pakubwa!Huku Iran ikipiga kituo cha patriot nchini kuwait na drone centre yao,wamarekani wameanza kuishtumu nchi rafiki na irani! Je huu mzozo hautatanuka na kuwa mzozo wa kikakanda ambao aujawahi kutokea?
Marekani ili underestimate nguvu ya kijeshi ya Iran
Lakini pia, Marekali ilifikiri Serikali ya Iran inachukiwa na Raia wake kumbe takriban 85%+ ya Wairan wanaiunga mkono Serikali yao.
Marekani ilifikiri Wairani ni mbumbumbu, kumbe Irani ni kati ya Nchi tano Duniani ambazo Raia wake wamesoma VIZURI tena masomo ya sayansi.
IRANI HAITEGEMEI KUNUNUA MABOMU, SIJUI DRONE ZA KISASA ZA KIVITA KWANI WANAZALISHA WENYEWE.....
Silaha nyingi wanazalisha wenyewe kutokana na Uwekezaji mkubwa waliofanya kwenye ELIMU YA SAYANSI
OGOPA SANA NCHI ILIWEKEZA KWENYE ELIMU YA SAYANSI.
MAREKANI WAKIPIGA BOMU KIWANDA, NDANI YA MASIKU KADHAA WAIRANI WAMESHAJENGA KINGINE WENYEWE....
 
Tumewasikia nyie waheshimiwa mabalozi wa usalama wa umoja wa mataifa mkiwa mnajua Nini kinaendelea huko kwenye vita vya middle east kana kwamba mnapokea taarifa Moja kwa moja Kutoka kwa Majenerali wa Iran na Israel mkiwa mmenyoosha miguu kitandani😅
 
Uko mbele ya muda sana, rudi nyuma uko unakowaza bado sana kufika
 
Aisee hivi mkuu 100 others si uanzishe tu YouTube channel uwe una tema manoleji kama hayo ya kivita mara inertia navigation system, mara electronic warfare, mara infarred signature 😂😂😂 hujakaa sawa mara kuna radar cross sectional area, space launch vehicle technology dah acha niishie hapa mkuu unatisha ANZISHA YOUTUBE channel hawa akina chiMasubi wa sns kumbe hamna kitu kabisa.
 
Ninaona kila dalili kukaja na matumizi ya siraha za maangamizi hasa ya kuhofia China na North Korea na Urusi wanamsaidia Iran pakubwa!Huku Iran ikipiga kituo cha patriot nchini kuwait na drone centre yao,wamarekani wameanza kuishtumu nchi rafiki na irani! Je huu mzozo hautatanuka na kuwa mzozo wa kikakanda ambao aujawahi kutokea?
Labda kama Republican na Trump wanaogopa kuanguka kwenye uchaguzi so watumie vita kuendelea kubaki vitani.

View: https://www.instagram.com/reel/DbCxV-btmtb/?igsh=b2N6am9yZHB2cjkz
 
Ujinga mtupu unakusumbua wewe unatetea Haki gani? Umeshindwa kuwatetea Watanzania wenzako wananyanyaswa na utitiri wa Jodi na waafrika wenzako huko Congo na Sudan Leo hii unakuja kuwatetea Magaidi waarabu au kwa sababu walikuletea dini? Mihemko ya UDINI inakutafuna wewe!!

Acha mambo ya kukaririshwa hao unaowaita wapalestina warmedhurumiwa haki zao ipi? Israel imewafanyia nini? Umepandikiziwa chuki zisizo na maana na wewe kwa ujinga wako umezifakamia na ndiyo maana kila Mara unajilizaliza tu humu!!

Hamas ni Magaidi kwa ujinga ulionao hata hujui waliyoyafanya Oct 07,2023 harafu unajifanya unatetea haki!!
Hilo ndilo tatizo lako kubwa. Unataka kila mtu humu jukwaani aamini katika msimamo na mtazamo wako kuhusu Israel! Hopeless kabisa wewe.
 
Back
Top Bottom