Yawezekana mzozo wa Middle East ukawa mkubwa na kuanzisha WW3?

Endelea tu kuwaramba makalio magaidi wa Iran Waambie basi wafu she mapipa yao Israel waone kilichowafanya waislamu wasile Nguruwe!!!!
Huwezi kusema missile advanced na yenye accuracy ya kutisha ukaita pipa..
Kile ni chuma ndio maana kinaweza kuhimili friction kati ya hewa mpaka inawaka moto na haiharibiki.. inatumia tech ya hypersonic glide vehicle.. ni silaha inayowanyima usingizi Israel na US..

Hio ni machine, tena ni machine yenye advanced tech ya kutisha ambapo hata US hawana. Uzuri unafahamu US hawana hypersonic.
 
Endelea tu kujifariji na kuwadanganya Wafuga Midevu na Majini wenzako wakati majeshi hodari ya Israel yakiweka security zones ndani ya Lebanon na Hezbollah wakibondwa Kama kawaida na mizoga yao kuzikwa mchana kweupe
 

Attachments

  • IMG_5553.jpeg
    365.7 KB · Views: 8
  • IMG_5552.jpeg
    151.9 KB · Views: 7
Endelea tu kujifariji na kuwadanganya Wafuga Midevu na Majini wenzako wakati majeshi hodari ya Israel yakiweka security zones ndani ya Lebanon na Hezbollah wakibondwa Kama kawaida!!!
Huna hoja kijana..
Israel hawana huo uwezo..
Walitaka kuanza upuuzi wao wa kuilenga Lebanon kama Gaza ulisikia Iran ilivyo karipia..
Maana wao ni wazuri wa kutumia ndege hizo za misaada kutoka US kupiga zigzag.. vita ya mipango na akili ni 0.
 
Soon or later ukiona turkey ameingizwa kwenye hii vita hapo anatafutwa russia,kitu ambacho hata siku moja russia hawezi kukubali
 
Swali ni je, US ataweza kustahili madhambulizi ya Iran mpaka kufanikisha hayo yote. Maana wakati US anakuja na mbinu hiyo ya kumsogeza Iran mbali na fukwe, kumbuka Iran pia anaharibu vibaya sana assets za US ukanda mzima
 
Swali ni je, US ataweza kustahili madhambulizi ya Iran mpaka kufanikisha hayo yote. Maana wakati US anakuja na mbinu hiyo ya kumsogeza Iran mbali na fukwe, kumbuka Iran pia anaharibu vibaya sana assets za US ukanda mzima
USA Uchumi wake ni zaidi ya trillioni 30, yeye ndio ana print dollar.

Marekani kwenye hiyo vita anashambulia kistaarabu sana, yaani hajafanya mobilization yoyote ya maana.

Vita ya Ukraine iko hadi leo kwa sababu USA anatoa pesa
 
Wewe uko kwenye uwanja wa vita...?? Na kipi kinakufanya useme askari 1000 wa israel hawawezi kuwakabili askari 200 wa iran??
 
Marekani ili underestimate nguvu ya kijeshi ya Iran
Lakini pia, Marekali ilifikiri Serikali ya Iran inachukiwa na Raia wake kumbe takriban 85%+ ya Wairan wanaiunga mkono Serikali yao.
Marekani ilifikiri Wairani ni mbumbumbu, kumbe Irani ni kati ya Nchi tano Duniani ambazo Raia wake wamesoma VIZURI tena masomo ya sayansi.
IRANI HAITEGEMEI KUNUNUA MABOMU, SIJUI DRONE ZA KISASA ZA KIVITA KWANI WANAZALISHA WENYEWE.....
Silaha nyingi wanazalisha wenyewe kutokana na Uwekezaji mkubwa waliofanya kwenye ELIMU YA SAYANSI
OGOPA SANA NCHI ILIWEKEZA KWENYE ELIMU YA SAYANSI.
MAREKANI WAKIPIGA BOMU KIWANDA, NDANI YA MASIKU KADHAA WAIRANI WAMESHAJENGA KINGINE WENYEWE....
 
Tumewasikia nyie waheshimiwa mabalozi wa usalama wa umoja wa mataifa mkiwa mnajua Nini kinaendelea huko kwenye vita vya middle east kana kwamba mnapokea taarifa Moja kwa moja Kutoka kwa Majenerali wa Iran na Israel mkiwa mmenyoosha miguu kitandani😅
 
Uko mbele ya muda sana, rudi nyuma uko unakowaza bado sana kufika
 
Aisee hivi mkuu 100 others si uanzishe tu YouTube channel uwe una tema manoleji kama hayo ya kivita mara inertia navigation system, mara electronic warfare, mara infarred signature 😂😂😂 hujakaa sawa mara kuna radar cross sectional area, space launch vehicle technology dah acha niishie hapa mkuu unatisha ANZISHA YOUTUBE channel hawa akina chiMasubi wa sns kumbe hamna kitu kabisa.
 
Labda kama Republican na Trump wanaogopa kuanguka kwenye uchaguzi so watumie vita kuendelea kubaki vitani.

View: https://www.instagram.com/reel/DbCxV-btmtb/?igsh=b2N6am9yZHB2cjkz
 
Hilo ndilo tatizo lako kubwa. Unataka kila mtu humu jukwaani aamini katika msimamo na mtazamo wako kuhusu Israel! Hopeless kabisa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…