Hiyo sio hali halisi inayoendelea kwenye hii vita angalia vizuri. Ingekua hivyo basi US asingesaini MOU mana ile ni kama hati ya US kusalenda, ukiangalia point karibia zote 14 zilikua ni matakwa ya IRANUSA Uchumi wake ni zaidi ya trillioni 30, yeye ndio ana print dollar.
Marekani kwenye hiyo vita anashambulia kistaarabu sana, yaani hajafanya mobilization yoyote ya maana.
Vita ya Ukraine iko hadi leo kwa sababu USA anatoa pesa
Trump miscalculatedNinaona kila dalili kukaja na matumizi ya siraha za maangamizi hasa ya kuhofia China na North Korea na Urusi wanamsaidia Iran pakubwa!Huku Iran ikipiga kituo cha patriot nchini kuwait na drone centre yao,wamarekani wameanza kuishtumu nchi rafiki na irani! Je huu mzozo hautatanuka na kuwa mzozo wa kikakanda ambao aujawahi kutokea?
Na katika historia ndio itakua mara ya kwanza iran kuwa kama somalia au syriaVita ya Iran haiwezi sababisha vita ya tatu ya Dunia.
Marekani anachofanya sasa hivi anarudisha nyuma Iran kutoka kwenye fukwe, anachochea ni kuifanya Iran ishindwe kuuza wala kunafika na mafuta yake, ikishakuwa hivi Iran haitakuwa na uwezo wa kuendesha vita kwa muda mrefu.
Kingine Israel na Marekani hadi sasa wamefocus na IRGC na kuliacha Jeshi la Taifa la Iran, kisiasa wanatengeneza fursa kwa jeshi la Iran kuweza kuwa na nguvu sawa na IRGC, hii inaweza kuwa kama case ya Sudan nchi moja ina majeshi mawili ambayo yana mtazamo/Ideology tofauti.
Iran tayari iko kwenye mtikisiko wa uchumi, kuharibiwa kwa bandari, madaraja na vituo vya umeme vinachochea hali ya uchumi kuendelea kudorora, kwa wananchi Uchumi kwanza ubabe wako wa kivita baadaye, hapa Marekani na Israel wanachochea Wairan watoke barabarani.
Kingine Israel na Marekani katika mashambulizi yao mawekuawa wakishambulia vituo vya polisi, ofisi na uwezo wa nchi kusimamia usalama wa ndani, yakitokea maandamano mengine Israel na Marekani wakijaza Silaha na moto kwa waandamanaji, nchi inakuwa Somalia au Syria
Ndio pia umoja wao, wairan wanagombana wenyewe ila akija adui wanaungana na kumpigaIran sio nchi moja kama inavosemwa nje ya nchi,
Iran kuna Wapersia, Waarabu, Kurds, na makundi mengine hayo ndio madhaifu yao
Kinuke tu kama kimeamua kuachia, labda dunia itatafakari uelekeo mpya. Akipatikana jasiri na mjanja wa kumtikisa US dunia itatulia hiiNinaona kila dalili kukaja na matumizi ya siraha za maangamizi hasa ya kuhofia China na North Korea na Urusi wanamsaidia Iran pakubwa!Huku Iran ikipiga kituo cha patriot nchini kuwait na drone centre yao,wamarekani wameanza kuishtumu nchi rafiki na irani! Je huu mzozo hautatanuka na kuwa mzozo wa kikakanda ambao aujawahi kutokea?
Lakini unasahau Wagiriki, Waarabu, na watu wengine wengi wamewahi kuitawala Iran.Na katika historia ndio itakua mara ya kwanza iran kuwa kama somalia au syria
Vita kuu ya dunia unazungumzia mataifa makubwa mawili yanapopambana kwelikweli. Sasa Iran na USA mbona ni magharibi na mashariki.Sio rahisi kutokea WW3
Kwa Sasa watu Wana uelewa sana tofauti na miaka Ile so ni vigumu sana kutokea Kwa vita kuu ya Dunia kama miaka ya zama za Giza, migogoro inaweza kuwa mikubwa kiasi kikubwa lakini sio kufikia vita ya Dunia kama mgogoro huo wa Iran na marekani ni mgogoro mkubwa ambao kimsingi umevuka kwenye ushawishi wa kuingia kwenye vita kuu, ingekuwa miaka ile wangeshaingia kwenye vita kuu ya dunia
Safi sana Israel na USA, bila hawa jamaa dunia ingebaki ya kigaidi gaidi tu.Acha ujinga Magaidi wa Hezbollah na Hamas wanapigika kila siku na Iran alishasema wa hum a wake Israel ikiendelea kuwa once basi Iran itaweza kuishambulia Israel lakini mpaka Leo Magaidi hao wanapigwa na Israel na Iran kaufyata mkia wake na kuwaachia magaidi hao wakiuwawa Kama nzige!!
Visions za watu pia zinakufa mkuu, mambo mengi yanasimama hasa maisha ya raia. Wafanya biashara pia ndo kabisa mambo yanakufa.Huwa ninavichukia sana vita kwa sababu vinasabanisha bifo vya wati wengi na pia uharibifu mkubwa wa mali, miundombinu, nk.
Yes,script yao inasema hivyo mkuuNinaona kila dalili kukaja na matumizi ya siraha za maangamizi hasa ya kuhofia China na North Korea na Urusi wanamsaidia Iran pakubwa!Huku Iran ikipiga kituo cha patriot nchini kuwait na drone centre yao,wamarekani wameanza kuishtumu nchi rafiki na irani! Je huu mzozo hautatanuka na kuwa mzozo wa kikakanda ambao aujawahi kutokea?
Soma battle ya Bint Jbeil, askari takribani 5000 wa Israel walizidiwa na askari 150 wa Hezbollah.. nitaandaa uzi nitaku tag.. 2006 ilikuwa..Wewe uko kwenye uwanja wa vita...?? Na kipi kinakufanya useme askari 1000 wa israel hawawezi kuwakabili askari 200 wa iran??
Ni kweli mkuu..Waarabu ni mazezeta, tofauti na Waajemi
China hawezi ingilia hiyo vita kwa sasa, Iran itachapika vibaya sana yenyewe huku hao uliowataja wakiwa wanamtazama tu.Ninaona kila dalili kukaja na matumizi ya siraha za maangamizi hasa ya kuhofia China na North Korea na Urusi wanamsaidia Iran pakubwa!Huku Iran ikipiga kituo cha patriot nchini kuwait na drone centre yao,wamarekani wameanza kuishtumu nchi rafiki na irani! Je huu mzozo hautatanuka na kuwa mzozo wa kikakanda ambao aujawahi kutokea?
Endeleeni tu kujifariji lakini ukweli uko palepale Magaidi wa Hamas na Hezbollah wanapigika sawa sawa!!!!!Soma battle ya Bint Jbeil, askari takribani 5000 wa Israel walizidiwa na askari 150 wa Hezbollah.. nitaandaa uzi nitaku tag.. 2006 ilikuwa..
Ndio maana nasema Air Force inawasaidia sana Israel kutoonekana kwa madhaifu yao.
Hata Gaza wamelipua hovyo hovyo, lakini ingalikuwq battle la ardhini hawana uwezo ku battle na Hamas.
Ujinga wako ndiyo unakufanya utetee magaidi!!!!Hilo ndilo tatizo lako kubwa. Unataka kila mtu humu jukwaani aamini katika msimamo na mtazamo wako kuhusu Israel! Hopeless kabisa wewe.
Wewe ndio mjinga Kwa sababu wenye akili wote wanajua sababu ya hi vita kuwa sio ugaidUjinga wako ndiyo unakufanya utetee magaidi!!!!