Yawezekana Tanzania ikawa ya MwiSho kukombolewa, hata Burundi watatutangulia

Burundi kuna makabila makuu mawili kwahiyo wanasiasa wanachofanya ni devide and rule Wahutu wanachonganishwa wawachukie Watutsi na vice versa kujikomboa kwa mmoja ni lazima afanye mauaji ya kimbari kwa mwingine.

Lakini hapa Bongo country majority ya watu hawako teyari labda siku Yanga na Simba zitakapipigwa marufuku watauondoa utawala huo
 
Huwa najitafakari sana Polepole ilikuwaje akanyakuliwa kama mwewe anyakuavyo kifaranga.

Ina maana hakufahamu hatari iliyopo mbele yake na kuchukua tahadhari na hatua za kiusalama?

Kwa muda wote aliokuwepo serikalini, hadi kuwa balozi hakufahamu watu anao deal nao wana uwezo gani?

Kuna watu aliwaamini akawapatia taarifa zake?, alijisahau mahala flani, alifanya mistake flani ndogo baada ya mashambulizi ya kimtandao?

Watekaji walikodi IT wa kimataifa kumtafuta usiku na mchana?

Walitumia uchawi?

Inatafakarisha sana, how easily jamaa kanyakuliwa.
Nyumba yenyewe alikuwa anaishi haina ulinzi mkali na mifumo bora ya kiusalama.

Ukiongezea na ile baada ya Tesha kuzungumza tu na kumtaja, siku chache mbele Polepole katekwa, kuna connection gani iliyopo?

Inaafakarisha sana..
 
adriz
 
Unajiskiaje kumsaliti polepole na kumchomesha? Maana namba yako ilikutwa miongoni mwa watu anaowasiliana nae ila wewe hujatekwa, umekuja kutochota ili umchomeshe mtu mwingine au?

Kwa location ile ya pole pole.
Mbona kama alijichoma mwenyewe tu.
 
Kweli kabisa; kwa EAC kwa sasa Tanzania ndo nchi ya hovyo kupita zote na ndo yenye Rahisi🧐 kilaza kupita wote…

Huwa najiuliza hiki kituko empty headed huwa kinaongea nini mbele ya big brains za EAC - Kagame, Museveni na Ruto? Aisee hii 🚮🚮🚮🚮 hapana aisee🙌🏽🙌🏽😂😂😂
 
Vijana Gani wakati wazee ndo mmeifikisha nchi kuwa katika Hali hii ya kutisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…