Yawezekana Tanzania ikawa ya MwiSho kukombolewa, hata Burundi watatutangulia

Wanausalama na majasusi wa nchi mmeapa kiapo Cha kifo!!

Kwanini msife Kwa faida!!?SI mnajua fika Kwa Sasa kinara ni nani!!?

Kwanini nyie mjiitao watu wa mfumo msijitoe mhanga Kwa ajili ya Tanzania mpya!!?

Nadhani unajua fika ni watu wawili wakiwa Chali nchi imepona hivyo inahitajika majasusi wawili TU then nchi ipone ,kwanini wewe usiwe mmoja wao!!?

Kwanini mnataka watz wasiokua na hatia wauawe Kwa risasi za moto Tena kwa idadi kubwa wakati wanausalama wawili tu wangefanya elimination ya wawili TU na tukaanza upya na mwelekeo mpya!!?

Msiwe mnakwepa wajibu wenu kwa kusingizia watz walipa Kofi wafanye mambo ya hovyo kama kuandamana wakati Kuna idara zipo na zinajua Cha kufanya!

Kama Kennedy elimination ilifanyika na America ikaendelea bila watu kuandamana nyie mnashindwaje!!?

Tunawalipa Kodi zetu ili mtuhamasishe tuandamane halafu tufe kwa risasi wakati nyie wenyewe mmepa kufa kwajili ya taifa na hamtaki kujitoa mhanga!!?

Kuweni serious!

Kiukweli mtu yeyote anahamasisha watz waandamane Ili wapambane na polisi kuleta mabadiliko namuona mjinga sana!

Uhuru tulishapata,majasusi tunao na wameapa kulinda taifa na nchi kama taifa na nchi vinaenda mrama wewe kama mla kiapo unatakiwa ufanye jambo kimedani sio kulalamikia walipa kodi!!

Huwa nawauliza wengi wetu kwamba:-

"Wakati wanajeshi wanalinda mipaka yetu,wanasiasa waliapaswa kulinda rasilimali zetu,je ndivyo ilivyo!!?

Pale Bukinafaso ilihitajika maandamano ya Raia au ni walinda mipaka na majasusi waliamua wait kama wao!!?

Majasusi mrudi kwenue misingi!!!
 

Binafsi ninaamini alisalitiwa na watu wa kuaminika na wenye uzoefu sana tu ktk masuala ya security nchini. Walimpa uhakika wakamuwezesha kuja Tz kwa mbinu za kijasusi, akawaamini mazimaaa. Akiwa Tz wakamhakikishia usalama. Ila mwisho wa siku wakabanwa bila kutarajia wakalala mbele; akajikuta yeye na adui na huo ndo ukawa mwisho wa harakati zake.
 
Inawezekana..
 
Kijana muangalia wafilipino usiku kucha aache kuwasa mitako ya wanawake na flying fish
 
Nadhani jamaa aliuzwa na aliowaamini.

Video yake ya mwisho usiku ule na hata post yake ya mwisho hapa jf alielezea usaliti.
 
ila kiukweli sidhani kama katika hii dunia kuna mazuzu na makondoo kama Tanzania, na ndio mtaji wa ccm, mtu buku 5 tu ananusurika kufa kwenye lorry 🚛 la ng'ombe
 
Kabla ya kusingizia vijana waoga au wazembe kwanza tuangalia huko juu kukoje koje.

Haiwezekani eti vijana wa tiss, jw, polisi sijui uhamiaji, wabunge, mahakama, mawakili na chama chao, wote hawa wanamamlaka na kauli zao zinazikilizwa sana pale jumba jeumbe eti wameshindwa kukomboa taifa sasa wote hao wanawategemea vijana mtaani choka mbaya ambao teyari wameshabagazwa kiuchumi hadi kiakili eti washike mawe wakomboe majeshi, toss, polisi, mahakama, bunge na n.k..

hapo itakuwa uongo mkubwa hakuna miujiza ya namna hiyo.
 
Safi kabisa wanatuona sisi vijana tuliopo mitaani huku wajinga mimi uwa nasema vijana waliopo mitaani wanajipambania ni zaidi ya majeshi mtaani huwezi kusurvive kama huna akili maana huku hakuna cha mwisho wa mwezi ni wewe na akili yako ndio unaishi.

Tuna majeshi yanayokula kodi zetu alafu linapokuja swala la kuwajibikia kodi zetu mpira wanausukumiza kwa vijana ambao teyari mifumo imeshatubagaza kiuchumi hadi kiakili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…